Haya et mswaki dk tano nikwamba unasugua papuchi?
Kuoga ni mara mbili nikiwa na mishemishe nikiwa home itategemea sasa nikiwa na stress na kuboeka hata mara 8 safi ila nimelala na programu tu tena na rah mara mbili au moja maana sometime uvivu
Pia unapokuwa umeondoa nywele nywele mwilini inapunguza storage ya uchafu