mie mswaki dakika 5 zinantosha
kuoga mara mbili kwa siku nikienda job
but home day lazma nkoge hata mara 3 japo usiku nisipokoga usingizi hauji hata kwa valium
Mswaki ubadili kila baada ya miezi mitatu ,atleast dakika 5 kupiga mswaki kwa asubuhi na kila unapotoka kula ni kusafisha kuondoa mabaki na before kulala.
Kuoga asubuhi after kuamka na usiku before kulala ,hapa kati ni option.