Babu wa Kambo
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 559
- 808
Waliofanyakazi na Obama wote wajiuzulu serikalini
Gazeti la Washington Post limeandika kuwa, kujiuzulu kwa wakurugenzi na maofisa wote wa ngazi za juu ni sehemu ya mwenendo wa kuachia ngazi maofisa wa ngazi za juu wa Serikali iliyopita ambao hawataki kufanya kazi na Rais Donald Trump.
Hii imekaaje??