Mkuu miaka mitano tena? mwaka mmoja tu imebidi atumie mpaka makundi ya kigaidi Wagner group, wafungwa na vijana wa miaka 18-50, hiyo miaka 5 ata kutakuwa na nchi tena iitwayo russia?
Ao wagner wako wengi sana kijana, Syri pale wapo, Mali wapo, Central Africa wapo, Burkina Faso wapo! Tukiamua tunabeba wote wanaingia Ukraine maana tumewaajili
Ao wagner wako wengi sana kijana, Syri pale wapo, Mali wapo, Central Africa wapo, Burkina Faso wapo! Tukiamua tunabeba wote wanaingia Ukraine maana tumewaajili
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji12] We jamaa we unakaza fuvu kama kipanya wakati wahusika wanalia hali mbaya wewe unasema mnawaua!