Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Inapigwa mkuu. Putin anaumwa.Sijuo ni ulimbukeni, au ujinga au kujifanyisha hivi Nchi inayoogopwa na USA yenyewe ndio Leo ije ipogwe na Ukraine?
Nchi iliyoogopeka Duniani na kusababisha mataifa zaidi ya 40 yenye uchumi mkubwa Duniania kuungana kijeshi dhidi yake ndio Leo ije iishiwe silaha.
Nchi iliyosababisha mdororo wa uchumi Duniani, kutokana na kuhitajika kwake Leo ndio iishiwe slaha?
Hata kama hukipendinkitu Fulani au MTU Fulani basi at least tambua uwezo wake.
Kuna Prof. mmoja alikuwa anasema; hii ngozi ya mtu mweusi mwafrika athari ya kitu inaipima baada ya hicho kitu kumchoma na kumuunguza kabisa kwenye ngozi.Inapigwa mkuu . Putin anaumwa .
Haya mambo yameanzia parefu!Jamani binafsi naona Russia ni wabovu ktk mipango. Naamini kuwa Russia wangewza kuidhibiti Ukraine pasipo kurusha risasi hata moja....... Jiografia, historia, ...NK vipo upande wao.
We ndiye umelogwa baba kwa lipi? Nchi inayonuka rushwa,ubadhirifu,ufisadi,yaan Russia ingefaa iwe sehemu ya afrika maana ni aibu kwa taifa lililosheheni raslimali za kushiba kuliko dunia nzima ,uchumi wake unazidiwa na Italy au Germany,Russia leo ni wa kukimbizwa na kasilaha kamoja Himas ,leo taifa Hili limeshindwa kuufanya uchumi wake kuwa tishio ,kazi kuwajaza watu wake propaganda za uongo ,kwamba taifa lao ni kubwa kumbe Hanna lolote ,na mwaka huu mtavuliwa chupi hadharaniUmerogwa wewe si bure. Utaugua presha bure. Urusi baba lao dunia nzima.
Russia ku mdhibiti Ukraine Bila risasi haikuhitaji kibali cha Kiev, na Kiev hakutakiwa kujuwa kuwa anadhibitiwa......otherwise Russians are not brainy!.Haya mambo yameanzia parefu!
Hayo yoote uliyoyaandika Ukraine alikataa!
Kwani kapiga wap zaid ya huo mji aliokua kaushikilia ,amejaribu mara ngap kupiga miji mingine makombora yake yakaishia kudunguliwaKuna Prof. mmoja alikuwa anasema; hii ngozi ya mtu mweusi mwafrika athari ya kitu inaipima baada ya hicho kitu kumchoma na kumuunguza kabisa kwenye ngozi.
Juzi Ukraine imefanyiwa mashambulizi kwenye mitambo yake ya kufua umeme nchini mwake. Shambulizi ambalo limetendeka kwa saa kadhaa matokeo yake 50% ya nchi ipo gizani. Kwa tafsiri nyengine ni kuwa hakushindwa kuifanya 100% ya Ukraine iwe gizani.
Inakubidi utafakari! Ikiwa kama mifumo yako ya ulinzi ya anga imeshindwa kuinusuru nchi isiwe gizani mfumo wa nishati ndani ya nchi usididimie kwa tafsiri nyengine kashambulia alipopataka na adui yako kafanikiwa. Tafsiri yake ni kuwa anao uwezo wa kupiga pengine pasipo wewe kuweza kupadhibiti. Kwa sababu ameonyesha anao uwezo wa kupiga anapopataka na mifumo yako ikashindwa kudhibiti.
Adui wa namna hii si dhaifu! Anakutaka utafakari. Siku akikunjuka dunia msije mkapiga kelele mkasema ana roho mbaya!
Mchezo unaitaji mahesabu alafu, wewe na point zako hesabu ujuiMasuala mengine yanaenda kwa mahesabu ya kawaida. Nashindwa kuelewa uelewa wa watu ni mdogo sana ujinga ukakithiri sana, nashindwa kuelewa!
Hakuna ambaye anayemchukia Ukraine. Ila haipingiki na ukweli kuwa Ukraine haitoweza kushinda. Kwa ithibati/fact wala sio maoni. Labda tusukumwe na mtikisiko wa Ngoswe penzi kitovu cha uzembe.
Ikitamkwa operation; kijeshi inakuwa ni yenye malengo maalumu kwa ajili ya kutimiliza kazi/wajibu fulani. Kwa misingi hiyo baadhi ya matumizi ya silaha, nguvu na maeneo ya mashambulizi yanadhibitiwa kwa sababu haupo kwenye vita bali upo kwenye jukumu maalumu la kutekeleza wajibu fulani. Hiki ndicho ambacho kinachofanyika Ukraine. Si ajabu baadhi ya miji haijaguswa kabisa.
Labda ujijibu kwa kutafakari: Hakuna ambaye asiyeijua nguvu ya kijeshi ya US. Hakuna asiyeijua nguvu ya kijeshi ya UK n.k yeyote akiamua kufanya mashambulizi yake ni maafa. Lakini UK yupo nyuma ya Russia, France ipo nyuma ya Russia, Poland ipo nyuma ya Russia n.k na hii ni kwa mujibu wa takwimu za kiulimwengu za kijeshi ya kuwa Russia kwa nguvu ya kijeshi ya kidunia ni 2 nyuma ya US.
Pentagon ilisema Russia inatumia 15% ya nguvu yake ya kijeshi nchini Ukraine. Ikiwa hizo nchi nyenginezo ambao ni washirika wa US tunafahamu nguvu zao za kijeshi na maafa watakayoyafanya lakini takwimu zinasema wapo nyuma ya Russia, tumeshawahi kujiuliza swali kama hili? Vipi kama Russia akiamua kutumia nguvu yake yote ya kijeshi Ukraine itakuwa katika hali gani?
Ikifikia hii hatua ni vita hiyo! Pengine tumesahau labda tujikumbushe. Georgia ni tofauti na Ukraine. Lakini ilitangaziwa vita na Russia. Matokeo yake ndani ya juma Georgia ikapigwa! Haikuwa operation kwao Russia bali ni vita. Hofu yangu ni kuwa ikiwa haya malengo ya Russia yakishindwa kufanikiwa kwenye hii operation yake itamlazimu atumie nguvu ya ziada ambayo ni vita.
Tusijihadae kwa upuuzi na ujinga ujinga mwingi. Kwa hali ya namna yoyote itakavyokuwa Ukraine ana wakati mgumu sana mbeleni. Na maadamu ni vita ya uchumi imeingia tena: Ikiwa hii operation itachukua muda mfupi atakayeathirika kiuchumi zaidi ni Russia. Ikiwa hii operation itachukua muda mrefu atakayeathirika zaidi ni watesi wake waliyomuwekea vikwazo ambao ni EU. Kwa misingi hiyo huu mchezo unahitaji mahesabu ya hali ya juu!
Ile ya marekani dhid ya Saddam ilikua vita au special operation? Maana kwenye hii vita Russia ameshirikisha ndege,helicopter, manowar,meli,makombora ya masafa marefu alafu unatuambia special operation,Masuala mengine yanaenda kwa mahesabu ya kawaida. Nashindwa kuelewa uelewa wa watu ni mdogo sana ujinga ukakithiri sana, nashindwa kuelewa!
Hakuna ambaye anayemchukia Ukraine. Ila haipingiki na ukweli kuwa Ukraine haitoweza kushinda. Kwa ithibati/fact wala sio maoni. Labda tusukumwe na mtikisiko wa Ngoswe penzi kitovu cha uzembe.
Ikitamkwa operation; kijeshi inakuwa ni yenye malengo maalumu kwa ajili ya kutimiliza kazi/wajibu fulani. Kwa misingi hiyo baadhi ya matumizi ya silaha, nguvu na maeneo ya mashambulizi yanadhibitiwa kwa sababu haupo kwenye vita bali upo kwenye jukumu maalumu la kutekeleza wajibu fulani. Hiki ndicho ambacho kinachofanyika Ukraine. Si ajabu baadhi ya miji haijaguswa kabisa.
Labda ujijibu kwa kutafakari: Hakuna ambaye asiyeijua nguvu ya kijeshi ya US. Hakuna asiyeijua nguvu ya kijeshi ya UK n.k yeyote akiamua kufanya mashambulizi yake ni maafa. Lakini UK yupo nyuma ya Russia, France ipo nyuma ya Russia, Poland ipo nyuma ya Russia n.k na hii ni kwa mujibu wa takwimu za kiulimwengu za kijeshi ya kuwa Russia kwa nguvu ya kijeshi ya kidunia ni 2 nyuma ya US.
Pentagon ilisema Russia inatumia 15% ya nguvu yake ya kijeshi nchini Ukraine. Ikiwa hizo nchi nyenginezo ambao ni washirika wa US tunafahamu nguvu zao za kijeshi na maafa watakayoyafanya lakini takwimu zinasema wapo nyuma ya Russia, tumeshawahi kujiuliza swali kama hili? Vipi kama Russia akiamua kutumia nguvu yake yote ya kijeshi Ukraine itakuwa katika hali gani?
Ikifikia hii hatua ni vita hiyo! Pengine tumesahau labda tujikumbushe. Georgia ni tofauti na Ukraine. Lakini ilitangaziwa vita na Russia. Matokeo yake ndani ya juma Georgia ikapigwa! Haikuwa operation kwao Russia bali ni vita. Hofu yangu ni kuwa ikiwa haya malengo ya Russia yakishindwa kufanikiwa kwenye hii operation yake itamlazimu atumie nguvu ya ziada ambayo ni vita.
Tusijihadae kwa upuuzi na ujinga ujinga mwingi. Kwa hali ya namna yoyote itakavyokuwa Ukraine ana wakati mgumu sana mbeleni. Na maadamu ni vita ya uchumi imeingia tena: Ikiwa hii operation itachukua muda mfupi atakayeathirika kiuchumi zaidi ni Russia. Ikiwa hii operation itachukua muda mrefu atakayeathirika zaidi ni watesi wake waliyomuwekea vikwazo ambao ni EU. Kwa misingi hiyo huu mchezo unahitaji mahesabu ya hali ya juu!
Sijuo ni ulimbukeni,au ujinga au kujifanyisha hivi Nchi inayoogopwa na USA yenyewe ndio Leo ije ipogwe na Ukraine?.
Nchi iliyoogopeka Duniani na kusababisha mataifa zaidi ya 40 yenye uchumi mkubwa Duniania kuungana kijeshi dhidi yake ndio Leo ije iishiwe silaha.
Nchi iliyosababisha mdororo wa uchumi Duniani,kutokana na kuhitajika kwake Leo ndio iishiwe slaha??
Hata kama hukipendinkitu Fulani au MTU Fulani basi at least tambua uwezo wake.
Nimetambua uwezi wako ndugu mwandishi Kwa kuongea pumba........... yaani wewe ni bonge la PUMBANISTSijuo ni ulimbukeni,au ujinga au kujifanyisha hivi Nchi inayoogopwa na USA yenyewe ndio Leo ije ipogwe na Ukraine?.
Nchi iliyoogopeka Duniani na kusababisha mataifa zaidi ya 40 yenye uchumi mkubwa Duniania kuungana kijeshi dhidi yake ndio Leo ije iishiwe silaha.
Nchi iliyosababisha mdororo wa uchumi Duniani,kutokana na kuhitajika kwake Leo ndio iishiwe slaha??
Hata kama hukipendinkitu Fulani au MTU Fulani basi at least tambua uwezo wake.
Wewe ndo unaumwa unamsingizia Putin kifo kikikufikia ndo utajua kuwa aliyekuwa anaumwa ni wewe au PutinInapigwa mkuu . Putin anaumwa .
Putin ni MWENDAZAKE MKUU.Wewe ndo unaumwa unamsingizia Putin kifo kikikufikia ndo utajua kuwa aliyekuwa anaumwa ni wewe au Putin
Kojoa ukalale Jenifer .Sijuo ni ulimbukeni,au ujinga au kujifanyisha hivi Nchi inayoogopwa na USA yenyewe ndio Leo ije ipogwe na Ukraine?.
Nchi iliyoogopeka Duniani na kusababisha mataifa zaidi ya 40 yenye uchumi mkubwa Duniania kuungana kijeshi dhidi yake ndio Leo ije iishiwe silaha.
Nchi iliyosababisha mdororo wa uchumi Duniani,kutokana na kuhitajika kwake Leo ndio iishiwe slaha??
Hata kama hukipendinkitu Fulani au MTU Fulani basi at least tambua uwezo wake.
Kojoa ukalale Ms JeniferNimetambua uwezi wako ndugu mwandishi Kwa kuongea pumba........... yaani wewe ni bonge la PUMBANIST