USA scientists bid to grow human organs for transplant inside pigs

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
18,995
37,171
160526094933_pig_640x360__nocredit.jpg

Wanasayansi nchini Marekani wanajaribu kukuza viungo vya binadamu ndani ya mwili wa nguruwe, wakitumia teknolojia mpya inayofahamika kama 'Gene Editing'.

Wanasayansi hao wametoa vinasaba vinavyosaidia ukuaji wa kongosho kwenye nguruwe na badala yake wanaweka chembe chembe za viungo vya binadamu kwa matarajio kuwa kongosho ya binadamu itakuwa.

Wataalamu katika chuo kikuu cha California, Davis wanaamini kuwa utafiti huo utasaidia kupunguza uhaba wa viungo vya binadamu.
Hata hivyo teknolojia hiyo mpya inapingwa vikali na wanasayansi wengine kwa sababu ya maadili ya udaktari.

Wanasayansi hao wanadai kuwa huenda chembe chembe za binadamu zitakuwa na kufika kwenye ubongo wa nguruwe unaoendelea kukuwa.
===========================

Scientists in the United States are trying to grow human organs inside pigs.

They have injected human stem cells into pig embryos to produce human-pig embryos known as chimeras.

The embryos are part of research aimed at overcoming the worldwide shortage of transplant organs.

The team from University of California, Davis says they should look and behave like normal pigs except that one organ will be composed of human cells.

The human-pig chimeric embryos are being allowed to develop in the sows for 28 days before the pregnancies are terminated and the tissue removed for analysis.

The BBC's Panorama was given access to the research for Medicine's Big Breakthrough: Editing Your Genes.

Creating a chimera
Creating the chimeric embryos takes two stages. First, a technique known as CRISPR gene editing is used to remove DNA from a newly fertilised pig embryo that would enable the resulting foetus to grow a pancreas.

This creates a genetic "niche" or void. Then, human induced pluripotent (iPS) stem cells are injected into the embryo. The iPS cells were derived from adult cells and "dialled back" to become stem cells capable of developing into any tissue in the body.

The team at UC Davis hopes the human stem cells will take advantage of the genetic niche in the pig embryo and the resulting foetus will grow a human pancreas.

Source: BBC
 
Safi sana. Tutanunua spare parts za mwili madukani. Mangi enterprise- we sell hearts, kidneys, appendages and all sort of human organs. Bei poa tu
 
Lakini hii ishu ya kutumia kitimoto siinaelekea kubagua kundi moja la watu hapa duniani lakini.
 
Swali fikirishi.je kwa nini wanasayansi wamemchagua Nguruwe na sio Nyani?je Binadam anafanana kijenetic zaidi na Nguruwe kuliko nyani,Sokwe au mnyama mwingine yeyote?
 
Hii imekaa poa sana. Allah azidi kuwabariki wataalamu hawa kwa faida na ustawi wa kizazi cha binadamu. Najaribu kufikiria mabingwa kama hawa wasingikuwepo dunia sijui ingekuwaje leo. Tiba ikipatikana utashangaa Mwarabu wa Dubai, Saudia, na kwingineko watakavyomiminika US kupata tiba. Ha ha ha! Sipati picha!

Cc: Ritz FaizaFoxy Pohamba Kansigo kahtaan
 
Lakini hii ishu ya kutumia kitimoto siinaelekea kubagua kundi moja la watu hapa duniani lakini.
Nguruwe ameonesha kuwa na uwezo mkubwa kitabibu kuliko wanyama wengine. Kama vipi, na wewe anzisha utafiti wako utumie ngamia. Waswahili bwana, hapo mabingwa wameumiza vichwa hadi kuja na hiyo kitu nyie mmekalia mipasho tu hapa. Tunachotaka ni tiba, kama una mengine hayo ni yako ...
 
Swali fikirishi.je kwa nini wanasayansi wamemchagua Nguruwe na sio Nyani?je Binadam anafanana kijenetic zaidi na Nguruwe kuliko nyani,Sokwe au mnyama mwingine yeyote?

Hujakatazwa kumtumia nyani au hata ngamia kwenye utafiti wako bro. Acha kuingilia fani za watu ... Au ulitaka wakufurahishe wewe?
 
View attachment 354004

Wanasayansi nchini Marekani wanajaribu kukuza viungo vya binadamu ndani ya mwili wa nguruwe, wakitumia teknolojia mpya inayofahamika kama 'Gene Editing'.

Wanasayansi hao wametoa vinasaba vinavyosaidia ukuaji wa kongosho kwenye nguruwe na badala yake wanaweka chembe chembe za viungo vya binadamu kwa matarajio kuwa kongosho ya binadamu itakuwa.

Wataalamu katika chuo kikuu cha California, Davis wanaamini kuwa utafiti huo utasaidia kupunguza uhaba wa viungo vya binadamu.
Hata hivyo teknolojia hiyo mpya inapingwa vikali na wanasayansi wengine kwa sababu ya maadili ya udaktari.

Wanasayansi hao wanadai kuwa huenda chembe chembe za binadamu zitakuwa na kufika kwenye ubongo wa nguruwe unaoendelea kukuwa.
===========================

Scientists in the United States are trying to grow human organs inside pigs.

They have injected human stem cells into pig embryos to produce human-pig embryos known as chimeras.

The embryos are part of research aimed at overcoming the worldwide shortage of transplant organs.

The team from University of California, Davis says they should look and behave like normal pigs except that one organ will be composed of human cells.

The human-pig chimeric embryos are being allowed to develop in the sows for 28 days before the pregnancies are terminated and the tissue removed for analysis.

The BBC's Panorama was given access to the research for Medicine's Big Breakthrough: Editing Your Genes.

Creating a chimera
Creating the chimeric embryos takes two stages. First, a technique known as CRISPR gene editing is used to remove DNA from a newly fertilised pig embryo that would enable the resulting foetus to grow a pancreas.

This creates a genetic "niche" or void. Then, human induced pluripotent (iPS) stem cells are injected into the embryo. The iPS cells were derived from adult cells and "dialled back" to become stem cells capable of developing into any tissue in the body.

The team at UC Davis hopes the human stem cells will take advantage of the genetic niche in the pig embryo and the resulting foetus will grow a human pancreas.
Wamechelewa hao, wenzao watching wameshawapiga bao, wameshampandikiza mtu mboni ya nguruwe, wao ndio kwanza wqnafikiria kufuga,

Source: BBC
 
Back
Top Bottom