Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,244
- 15,062
Mheshimiwa maarufu, "Mujtahid," katika Twitter yake vyanzo vya kunukuu vilivyoelezewa na Wizara ya Ulinzi ya Saudi, alisema kuwa Marekani sasa imewaomba Saud Arabia kuandaa maeneo ya kijeshi ya Saudi kutumikia Amerika katika mapambano ya karibu.
Inasemekana USA atashambulia Iran kama sehemu tatu hivi sababu Trump anaruhusiwa kutokana na sheria afanye mashambulizi kiasi kama ha kuruhusiwa na congess kwenda vitani, na Iran akijibu hapo ndio itabidi congress wampe Trump greel light aingie katika vita na hicho ndio Trump, Natanyahu, MBZ na MBS wanakitaka.
Vita vinakuja katika hizi siku au hii week, kutokana na huyo Mheshimiwa maarufu Mujitahidi, na mara nyingi habari zake huwa za kweli inasemekaba ni one of Saudi Royal Family.
Winter is coming,..
Ni wakati wa Iran kutest makombora ya nyuklia katika ardhi ya Saudia.
Hana hizo nguvu.Iran,wakapige pale Newyork kabisa. Siwapendi Marekani.
Hata mimi nadhani kama wewe, lakini huyo Mujitahidi huwa yuko katika watu wakaribu sana na Crown prince wa Saud Arabia. Mara nyingi sana maneno yake huwa ni kweli.Marekani sidhani kama ataingia kwenye vita na Iran hizo zitakua mbwembwe tu ila anajua uwezo wa kijeshi wa Iran kwamba sio wa kubezwa. Nadhani pia atafikiria kuhusu kuyumba kiuchumi akiwa vitani wakati huo mshindani wake kiuchumi China atakua anazidi kupepea wakati yeye anapigana vita.
Mdharau mwiba...........Usiwaunderestmate wairani. Wairan wanaongoza kwa Sayansi ya nuclear. Wewe unafikiri wangekuwa hohe hahe America ingekosa usingizi kwa ajili yao? Nilishakutana na wairan wachache wapo vere vere intelligent.Hana hizo nguvu.
Na pia Iran hatarusha makombora Saudia tu, atayapeleka hadi Marekani na ni kitu ambacho US atakihofia zaidi
Hata mimi nadhani kama wewe, lakini huyo Mujitahidi huwa yuko katika watu wakaribu sana na Crown prince wa Saud Arabia. Mara nyingi sana maneno yake huwa ni kweli.
مجتهد يؤكد عن مصادر في وزارة الدفاع السعودية التنسيق مع أمريكا بشكل عاجل لتهيئة المواقع العسكرية لضرب إيران
Mi ndo nakwambia, hakuna cha vita. Watu wameshaona Marekani anaogopa vita. Wakisema waingie vitani Iran itaangamia sana. Iran anataka kujifanya kama Korea kaskazini tu.Mdharau mwiba...........Usiwaunderestmate wairani. Wairan wanaongoza kwa Sayansi ya nuclear. Wewe unafikiri wangekuwa hohe hahe America ingekosa usingizi kwa ajili yao? Nilishakutana na wairan wachache wapo vere vere intelligent.
balaa dogo l[tatokeaHata mimi nadhani kama wewe, lakini huyo Mujitahidi huwa yuko katika watu wakaribu sana na Crown prince wa Saud Arabia. Mara nyingi sana maneno yake huwa ni kweli.
مجتهد يؤكد عن مصادر في وزارة الدفاع السعودية التنسيق مع أمريكا بشكل عاجل لتهيئة المواقع العسكرية لضرب إيران
Marekani sidhani kama ataingia kwenye vita na Iran hizo zitakua mbwembwe tu ila anajua uwezo wa kijeshi wa Iran kwamba sio wa kubezwa. Nadhani pia atafikiria kuhusu kuyumba kiuchumi akiwa vitani wakati huo mshindani wake kiuchumi China atakua anazidi kupepea wakati yeye anapigana vita.
Unafikiri Makombora yanarushwa kama unavyorusha jiwe mtini?Na pia Iran hatarusha makombora Saudia tu, atayapeleka hadi Marekani na ni kitu ambacho US atakihofia zaidi
Kuna broo wangu yuko Iran kimafunzo ya jeshi nitamuuliza anitonye hali ya mambo ya nguvu ya Iran kijeshiMdharau mwiba...........Usiwaunderestmate wairani. Wairan wanaongoza kwa Sayansi ya nuclear. Wewe unafikiri wangekuwa hohe hahe America ingekosa usingizi kwa ajili yao? Nilishakutana na wairan wachache wapo vere vere intelligent.
US ana nyuklia na Iran ana nyuklia na wote wana technology ya kurusha na kuzuia makombora. Drone ya US yenye technology ya juu imeshushwa na Iran na hiyo siyo ya kwanza, miaka iliyopita walishawahi kushusha nyingine ila US hakufanya lolote.Unafikiri Makombora yanarushwa kama unavyorusha jiwe mtini?