USA, Israel empire exist forever?

USA, Israel empire exist forever?

Status
Not open for further replies.

kisapwi

Member
Joined
Jun 9, 2014
Posts
39
Reaction score
17
Nilikuwa nafuatilia mada za JF kuhusu Mapigano ya ukanda wa GAZA kati ya Israel na wanyonge waPalestina ambao wameishi kwa muda mrefu tangu mwaka 1947 katika taabu kubwa. mwaka 2011 nilipata kusoma kitabu kimoja, mwandishi alidai kuwa hakuna empire hata moja duniani ambayo ilikuwa empire kwa zaidi ya mara moja. mfano ROMAN, FRENCH, GERMAN, SPAIN, EGYPT, BRITAIN, SOVIET (RUSSIA) N.K. kila empire ilikuwa na awamu moja tu na ilipoanguka haikurudi tena.

Ni kawaida ya empire kumwaga damu kwa kila anaeonenaka kwake ni mpinzani, jeuri au anapigania haki yake. baada ya soviet kuanguka mwanzoni miaka ya 1990's. DOLA KUU DUNIANI (EMPIRE) NI USA ambaye ana mshirika wake ISRAELI anamsapoti kwakila jambo. watu hawa ni wamoja wanapanga na wanaamua. kinachotokea Palestine ni Muendeleo wa historia kwani USA ndiye mwenye DOLA, hivyo akionekana mtu yeyote katoa kauli ambayo ni kunyume na mshirika wake lazima damu yake imwagike bila kujali ni wingi wa kiasi gani.

Ila historia hiyo itapita kwani mwandishi alisema utakapoona uchumu wa nchi yenye Dola kuu umeanza kuteteleka ujue ndio mwanzo wa DOLA HIYO KUANGUKA NA DOLA NYINGINE KUIPUKA. KWENYE KILE KITABU ALIITABIRIA CHINA KUIBUKA KUWA DOLA KUU DUNIANI BAADA YA MIAKA 20 KUANZIA SASA. PIA ALIONGEZA KUSEMA CHINA NDIYO ITAKAYOKUWA EMPIRE KWA MUDA MREFU ZAIDI KULIKO EMPIRE YEYOTE ILIYOPITA. HAYO NI MAWAZO YAKE HILA CHA MSINGI NI KUWA WAPALESTINA DAMU YAO ITAMWAGIKA NA IPO SIKU DAMU HIYO ITALIPWA KWANI HAWAWEZI KUUWAWA WOTE ILA WAISRAELI WASIJE KUSAHAU. KWA MFANO LEO AKIJA MTU ALIYEPIGANA NA KUUWAWA KATIKA VITA VYA MAJIMAJI, HAKIAMBIWA DOLA YA UJERUMANI IMEANGUKA KITAMBO, JE ATAAMINI?.

NI MATTER OF TIME, NAWAPA POLE PALESTINE YATAPITA TU NI HISTORIA YENYE KAWAIDA YA KUJIRUDIA. MANDELA ALISEMA ' WE KNOW TOO WELL THAT OUR FREEDOM IS INCOMPLETE WITHOUT THE FREEDOM OF THE PALESTINANS"
 
Unataka kuonyesha kwamba pengine Israel ni kama shetani na palestina ni malaika. Ni ukweli kuna mgogoro wa mipaka kati ya Israel na Palestine . Migogoro hiyo ipo katika maeneo ambayo kila upande unadai ni eneo lake. Kwa mfano ni namna Jerusalem itakuwa chini ya palestina ni kichekesho! Au kanisa la kihistoria la nativity kuwa chini ya palestina haiingii akilini! Kikubwa ni kwamba waafikiane tuu kuhusu hiyo mipaka na cyo zaidi. Tatizo kubwa kwa sasa ni hamas wanaofanya mashambulizi wakiwa wamejificha katikati ya akina mama na watoto. Je Israel isikilinde kwa sababu hamas wamefichama kati ya watoto na wamama?there is no way. Hao wamama ndio mama zao hao hamas na zaidi kama hawana ushirikiano wajitenge nao. Israel ndio inakuwa kijeshi tofauti na miaka kadhaa iliyopita. Kama utasubiri ianguke utasubiri sanaaaa! Kikubwa hamas waache ugaidi?
 
ok., unataka kusema nini sasa?
 
Umepotoshwa akili! Propoganda machine za Zionist zinafanya kazi. Huko wanawawekea madawa waethiopia wasizaane, wanawarudhisha waafrika wote Uganda , walimuona Yesu kama mwana haramu wewe ndio kwanza unawaona watoto wateule wa Mungu.
Hii ni clear geonicide, war crime na wamemzidi Hitler.
Kuuwa ovyo watu wasionahatia kwa kuwasingizia hamas ni ushetani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom