Sijakutaka u prove wala ku support hoja zangu, again, tatizo hujui kusoma.
Nimeleta hoja, umeuliza ushahidi, nimekwambia dunia nzima nchi zinajengwa from within and without. Nikakupa uwanja utoe mfano wa nchi moja tu ambayo haipo katika mfumo huu, kitu ambacho kingekuwa rahisi sana kama hoja yako ingekuwa na mshiko, maana wewe umeniuliza nikutajie nchi, mimi nimekutajia dunia nzima, bado umeshindwa kunitajia nchi hata moja tu inayojengwa kutoka ndani tu.
Unapoandika "Halafu unaniuliza mimi nitaje nchi ambayo haijajengwa" unaonyesha hujui hata nilichokuuliza ni nini, sembuse ya kuwa na jibu.
Comprehension kazi.