Us yataka kuichapa iran.


Teh teh teh teh!
Shangazi kawa mkali kama kalishwa shubiri!

Sasa mi chuki yangu na hao wauwaji inakuhusu nini wewe?
Au umechumbiwa na mmarekani!?
Manake nyie wakolinto mnapoona mtu anawapiga madongo wamarikani basi mnakuja juu utafkiri katajwa mumeo!
Namna gani Emirates4 tuliza munkara!

Usijezaa kabla siku hazija kamilika.
 
Last edited by a moderator:
Iran keshalegea na amesema hana mpango wa kutengeneza tena Silaha za Kinyuklia so hatopigwa tena kaona mwenzie Assad alivyofyata naye kaona kumbe njia ndio kama hii..... atakaguliwa ndani ya chupi yake then ataachwa tu

Haya ndio matatizo ya kungalia sana movie za kihindi!!

Unayoyaona humo SIO KWELI!
HAO WANA ACT TO!
teh teh teh teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…