Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
Hakikisha una bank statement inayoonyesha flow ya hela nzuri kwa muda mrefu na bank letter inayokutambulisha kama mteja wa muda mrefu usiye na matatizo, hizi bank documents ni muhimu ziwe za nguvu.
Pia itasaidia ukiwa na document zinazoonyesha kwamba una strong ties na nyumbani (kama una barua ya muajiri inayoonyesha unakwenda kusoma na unatakiwa kurudi kufanya kazi baada ya kumaliza masomo, kama una nyumba, mke, shamba na vitu vingine vya kuonyesha chances za kuishia Marekani ni ndogo) ili kuowaondoa na wasiwasi wa kurudi kwako, unaweza kuongezea vingine lakini hizi ni muhimu kabisa.
Ma councillor wa ubalozini wanakuwa assessed ka jinsi gani wao wanaweza kuwa asses waomba visa, na kwa mujibu wa vyanzo vya uhamiaji wao (hii ilikuwa mara baada ya 9/11) councillors wanaowapa watu wengi wasiorudi/ wanaoondoka shuke bila kufuata mpango visa wanaonekana hawajafanya kazi zao vizuri.Ndiyo maana siku hizi uhamiaji unafuatilia mpaka attendance ya foreigners vyuoni.
kijana worry not.....hata kama hujaajiliwa na huna kazi....mfadhili wako kama ulivyomtaja akupe bak statement yeye ndio ataidhinisha kuwa atakuwa sponsor wako kwa kila ki2 ukiwa majuu...
btw mkuu soma link hii chini mengine ina kila kitu....
Student Visas
usitusahau ukifika majuu tutumie hata raba mtoni.....
haina kweeeeeere mkuu JF utapata kila kitu hata ukitaka sehemu ya kufikia m PM FMES au Nyani ngabu ni watu wakarimu na wema sana.....Asante Yo Yo,
Hivi vitu za strong ties zilikuwa zinanitia kichaa, mimi mwenyewe choka mbovu account inapumulia mirija ya oksijeni na kazi sijawahi fanya nimemeliza shule kama miezi minne imepita, kwa hiyo hapo barua ya mwajiri sahau, sina kiwanja, mtoto wala mke ndio maana nikaona ngoja niombe ushauri hapa jamvini.
haina kweeeeeere mkuu JF utapata kila kitu hata ukitaka sehemu ya kufikia m PM FMES au Nyani ngabu ni watu wakarimu na wema sana.....
mie nsahtoswa sana ubalozi mkuu nikaenda mpaka malawi wapi wakatosa......na mwaka huu wameninyima kijani yao......arrrrg