US unyielding in opposing third term for Kagame

US unyielding in opposing third term for Kagame

Hakuna binadamu chini ya jua hili anaemzidi ukatili paka. Huyo Bi. Clinton anauwa RAIA wa mataifa mengine lakini paka anaua RAIA wake mwenyewe, mbaya zaidi anaua zaidi na zaidi wahutu tena wa kisomi ndio wanaowindwa zaidi. Paka akili zake na za shetani ni sawasawa.
OMG! yani we MBONERAKURE ndio kanjanja kweli hadi unatia uvivu kukuongelesha, lol! kibinadamu Kuuwa ni kuuwa tu hata awe ndugu yako au adui yako! hao "wahutu wasomi" wako maofisini vyuma wanajenga nchi yao!
 
Wako kwenye ofisi zipi hapo Rwanda,kila siku mnawaua watafanya vipi hizo kazi?
 
Back
Top Bottom