US unyielding in opposing third term for Kagame

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013
The United States on Wednesday reiterated its opposition to a third term for Rwanda President Paul Kagame.

The US comment, made in response to a query from The EastAfrican, follows the Rwandan Parliament's vote to amend the country's constitution to remove a provision barring a president from serving more than two terms.

"The United States has consistently called for African leaders across the continent to respect term limits," said Rodney Ford, spokesman for the State Department's Africa Bureau.

"We do not support changing constitutions to benefit the personal or political interests of individuals or parties."

Washington said last month in regard to the move to enable Mr Kagame to run again that "democracy is best advanced through the development of strong institutions, not strongmen." The State Department added in June: "We are committed to support peaceful, democratic transition in 2017 to a new leader elected by the Rwandan people."

Despite apparently broad support in Rwanda for Mr Kagame remaining in office beyond 2017, the Obama administration's disapproval is likely to carry weight for the country dependent on development aid from the US.

State Department officials have also criticised Rwanda's human rights record under President Kagame, who first took office in 2003.

"Alongside Rwanda's remarkable development progress, there have been equally consistent efforts to reduce space for independent voices and to diminish the ability of the media, opposition groups and civil society to operate," Deputy Assistant Secretary of State Steven Feldstein recently told the US Congress.

The Rwandan Parliament's move to change the constitution is the first step in a process that also must also involve a national referendum. But the outcome of such a vote would generate little suspense.

More than half the country's enrolled voters are reported to have signed a petition calling for revision of the article in the constitution limiting a president to two terms.

Source:
The east african.

cc: Ngongo Kibona nyumba kubwa JustDoItNow JokaKuu
 
The United States on Wednesday reiterated its opposition to a third term for Rwanda President Paul Kagame.

The US comment, made in response to a query from The EastAfrican, follows the Rwandan Parliament's vote to amend the country's constitution to remove a provision barring a president from serving more than two terms.

"The United States has consistently called for African leaders across the continent to respect term limits," said Rodney Ford, spokesman for the State Department's Africa Bureau.

"We do not support changing constitutions to benefit the personal or political interests of individuals or parties."

Washington said last month in regard to the move to enable Mr Kagame to run again that "democracy is best advanced through the development of strong institutions, not strongmen." The State Department added in June: "We are committed to support peaceful, democratic transition in 2017 to a new leader elected by the Rwandan people."

Despite apparently broad support in Rwanda for Mr Kagame remaining in office beyond 2017, the Obama administration's disapproval is likely to carry weight for the country dependent on development aid from the US.

State Department officials have also criticised Rwanda's human rights record under President Kagame, who first took office in 2003.

"Alongside Rwanda’s remarkable development progress, there have been equally consistent efforts to reduce space for independent voices and to diminish the ability of the media, opposition groups and civil society to operate," Deputy Assistant Secretary of State Steven Feldstein recently told the US Congress.

The Rwandan Parliament's move to change the constitution is the first step in a process that also must also involve a national referendum. But the outcome of such a vote would generate little suspense.

More than half the country's enrolled voters are reported to have signed a petition calling for revision of the article in the constitution limiting a president to two terms.

Source:
The east african.

cc: Ngongo Kibona nyumba kubwa JustDoItNow JokaKuu
huyo paka hakuna wa kumzuia, wanyarwanda ni panya wake. anaweza kuamua kufanya chochote na hakuna wa kumpinga. utaweza kushangaa mtu yeyote atakayejaribu kumuopose, kama hajachinjwa au kupotea ataambiwa ni genocide symperthizer, au ataambiwa ni symperthiser wa FDLR. hivyo watu watapiga kura kwa hofu kwa kuogopa kuwa wasipompigia kura watakufa. ila nakuhakikishia kuwa mwisho wa kagame hautakuja kuwa mzuri, watu wenye kiburi kama yeye siku zote hawaishii pazuri na atakuja kujilaumu na hakuna takayekuja kumtetea. siku hiyo ipo hata kama sio leo hata kama ataendelea third term vyovyote vile, siku yake ipo kama ilivyokuwepo siku ya gadaffi, siku ya assad, siku ya saddam hussein etc.
 
Una uelewa mdogo ndugu yangu nenda darasani ukasome tena. Assad ana shida gani wakati wananchi wake wote wanampenda?
 
huyo paka hakuna wa kumzuia, wanyarwanda ni panya wake. anaweza kuamua kufanya chochote na hakuna wa kumpinga. utaweza kushangaa mtu yeyote atakayejaribu kumuopose, kama hajachinjwa au kupotea ataambiwa ni genocide symperthizer, au ataambiwa ni symperthiser wa FDLR. hivyo watu watapiga kura kwa hofu kwa kuogopa kuwa wasipompigia kura watakufa. ila nakuhakikishia kuwa mwisho wa kagame hautakuja kuwa mzuri, watu wenye kiburi kama yeye siku zote hawaishii pazuri na atakuja kujilaumu na hakuna takayekuja kumtetea. siku hiyo ipo hata kama sio leo hata kama ataendelea third term vyovyote vile, siku yake ipo kama ilivyokuwepo siku ya gadaffi, siku ya assad, siku ya saddam hussein etc.
Mwisho ndio umeharibu aisee... Iraq, Libya na Syria kukoje sasa?
 
Aisee mkuu umeona mbali ingefaa nikuite nabii
 
Lol jMali naona wamarekani wamekufufua pamoja na Interahamwe wenzako... anyway, kwa wale wasiotujuwa, Rwanda is for Rwandans! therefore keep out... wanakuzuga na kelele nyingi, walikuwepo wapi wakati mlikuwa mkichinja ndugu zenu wasio na hatia? leo tunapeta wanaanza kujifanya wanatujuwa kwa sana, hii dunia bwana... BTW yule ndugu yako(Capt. Theophile Twagiramungu) mliyekuwa naye Dar kipindi kile cha Mkwere nasikia kakamatiwa DRC juzi, usipime kwenda ndugu yangu, Kabila kawageuka...
Cv75XeSXYAAhehE.jpg
 
Kwa Assad usiwafananishe na hao wengine
 
wewe ndio PANYA BUKU tumchukie kwa mazuri anayotutendea? hao wapingaji wapinge nini sasa, mazuri anayotufanyia? kafie mbele huko na chuki binafsi zako! Paulo Kagame ndio mpango mzima...
 
Lol jMali naona wamarekani wamekufufua pamoja na Interahamwe wenzako... anyway, kwa wale wasiotujuwa, Rwanda is for Rwandans! therefore keep out... wanakuzuga na kelele nyingi, walikuwepo wapi wakati mlikuwa mkichinja ndugu zenu wasio na hatia? leo tunapeta wanaanza kujifanya wanatujuwa kwa sana, hii dunia bwana... BTW yule ndugu yako(Capt. Theophile Twagiramungu) mliyekuwa naye Dar kipindi kile cha Mkwere nasikia kakamatiwa DRC juzi, usipime kwenda ndugu yangu, Kabila kawageuka...
Cv75XeSXYAAhehE.jpg
we sema tu umenimiss acha kuzuga, kwani huoni thread ni ya mwaka jana??
 
Hehehe good old times. Naona bado mnakumbukana.
 
Lol jMali naona wamarekani wamekufufua pamoja na Interahamwe wenzako... anyway, kwa wale wasiotujuwa, Rwanda is for Rwandans! therefore keep out... wanakuzuga na kelele nyingi, walikuwepo wapi wakati mlikuwa mkichinja ndugu zenu wasio na hatia? leo tunapeta wanaanza kujifanya wanatujuwa kwa sana, hii dunia bwana... BTW yule ndugu yako(Capt. Theophile Twagiramungu) mliyekuwa naye Dar kipindi kile cha Mkwere nasikia kakamatiwa DRC juzi, usipime kwenda ndugu yangu, Kabila kawageuka...
Cv75XeSXYAAhehE.jpg
Halafu wewe inkotanyi ni mnafiki na mzandiki kwelikweli! Hapo ulipozungushia ndio nini? Au unamaanisha huyo ndio jMali? Kuna uzi mmoja uliwahi kuitoa hiyo picha na ukamuuliza jMali kati ya hao yeye ni yupi? Leo unakuja na uzungushio wa kinafiki ukimaanisha huyo ndio,mwishowe mtamuua MTU asiyekuwa target yenu!
 
hahaha, mkuu ukiona ikotanyi wanakuita majina ya ajabu ajabu jua kuna mtu wanamhisi ndio wewe. Ila cha kushangaza kila siku wananibadilisha. wamewahi kunihisi kila kitu kuanzia mwalimu wa sekondari, mwanasiasa, you name it...Sasa hao watu sijui wako hai au ndio huwa "wanavamiwa na majambazi" kama prof mwaikusa.
 
mkuu za masiku mingi?😀

Hehehe salama sana kiongozi, naona you guys miss each other, mumekua kimya sana wakati naona habari nyingi sana kwenye magazeti kuhusu ukanda huo. Juzi niliona wanajeshi 22 wa Ufaransa wametajwa na Rwanda kwamba walihusika katika mauaji. Hizo habari zilinikumbusha good ol times hapa JF international kati ya wadau.
 
vyuma michuki inakupagawisha hadi unashindwa kusoma? huyo kwenye picha ni mshirika wenu kadakwa DRC!
 
Hehehe salama sana kiongozi, naona you guys miss each other, mumekua kimya sana wakati naona habari nyingi sana kwenye magazeti kuhusu ukanda huo. Juzi niliona wanajeshi 22 wa Ufaransa wametajwa na Rwanda kwamba walihusika katika mauaji. Hizo habari zilinikumbusha good ol times hapa JF international kati ya wadau.
za masiku mkuu? sasa kwanini haukuileta, uone itakavyo pita wimawima au kupondwa na wadau wenye akili za kitumwa ambao wao wanachokubali ni mzungu kumshitaki mwafrika always na sio vinginevyo... anyway ngoja nisichelewe nikailete nisikilizie... JF noma!
 
Hehehe salama sana kiongozi, naona you guys miss each other, mumekua kimya sana wakati naona habari nyingi sana kwenye magazeti kuhusu ukanda huo. Juzi niliona wanajeshi 22 wa Ufaransa wametajwa na Rwanda kwamba walihusika katika mauaji. Hizo habari zilinikumbusha good ol times hapa JF international kati ya wadau.
I don't miss these guys at all, ni kuwa tu right now i have some time to spare, nilishaamua kuacha kubishana na "mnyarwanda" aliyeko Dar es salaam kuhusu habari za Kigali ambapo mimi naishi na kufanya kazi!
 
hahaha, mkuu ukiona ikotanyi wanakuita majina ya ajabu ajabu jua kuna mtu wanamhisi ndio wewe. Ila cha kushangaza kila siku wananibadilisha. wamewahi kunihisi kila kitu kuanzia mwalimu wa sekondari, mwanasiasa, you name it...Sasa hao watu sijui wako hai au ndio huwa "wanavamiwa na majambazi" kama prof mwaikusa.
Maana yake mchambawima haelewekagi kabisa,utakuta anahoji mwishowe anatoa jibu mwenyewe ndio maana nikamwambia najua lengo lake anataka akufahamu halafu akuue sasa hayo mambo yake ya kufananishafananisha atakuja kuua watu wasio wenyewe!
 
Back
Top Bottom