Nna hamu kubwa sana ya kusubiria video games hasa Call of Duty kutengeneza game inayohusiana na hii vita.Dah!...US hataki silaha zake zitumike kushambulia ndani ya Urusi.
Hii Vita bado ina muda mrefu mpaka kuja kumalizika.
Nna hamu kubwa sana ya kusubiria video games hasa Call of Duty kutengeneza game inayohusiana na hii vita.Dah!...US hataki silaha zake zitumike kushambulia ndani ya Urusi.
Hii Vita bado ina muda mrefu mpaka kuja kumalizika.
Hapana ni sawa maana itasaidia kuharibu Command Post na Supply routes zote, kingine ni cluster atacms300km still too short; at least ten times would be fine wagonge joka lililojichimbia shimoni maza fq!
Na bado hawajasemaPale Russia anapoanza kushusha pumzi kwa kuchoka, wenzie ndo wanapasha ili waanze kupambana.
Kawaulize Kerch, SevastopolHivi storm shadow inapiga range gani na Himars je?
Kweli anadunda ndo maana kaamua asiuze mafuta njeUrusi ni miamba aisee!
anapigana na nchi zaidi ya 35 na Kila aina ya silaha,Hadi silaha ya vikwazo lakini bado anadunda TU.
Watabadili Kila aina ya silaha lkn majinbo hayarudi.
Maana yake hakuna mine dumps zitazokuwa salamaI heard zinapelekwa shorter range version za kupiga 140km-190km lakini zile zenye cluster munition.
Hizi zina zaidi ya cluster bomblets 900 kwenye kombora moja.
Kweli atashindwa maana Urusi keshafika KyivHii vita ukraine ishashindwa huo ndo ukweli
Kwanza mna ADs?US anatafuta matatizo mengine sasa puttn ataigeuza majivu hii nchi maana kuna silaha ambazo hajafikiria kuzitumia
Tuna S-400Kwanza mna ADs?

Putin ni kelele tu mkuu alisema ikishambuliwa russia atawasha nuclear sasa angali watu wanavyoshambulia hadi crimea, submarines za russia viwanja vya ndege na urusi juzi amefanya mazungumzo na Kim ni dalili tosha amefikishwa ukutaniUS anatafuta matatizo mengine sasa puttn ataigeuza majivu hii nchi maana kuna silaha ambazo hajafikiria kuzitumia
Atakuambia wenyewe ni waongo,wakati sisi tumesikia kutoka kwa wenyewe Urusi.Wewe unajua silaha zote za urusi?wenyewe wanasema bado hawajaanza vita.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Soon +255 nayo itapeleka Urusi garivita aina ya Nyumbu new model(boomproof)Ujerumani wao watapeleka Ukraine makombora ya Cruise,chapa Taurus yenye kwenda kilometa 500
....
![]()
Germany may transfer Taurus cruise missiles with a range of more than 500 kilometres to Ukraine after ATACMS deliveries
The epic story surrounding the supply of ATACMS ballistic missiles to Ukraine continues. Against this background, information has emerged about another Western weapon that the warring country needs.gagadget.com
Sijui hii taarifa inapokewa vipi na askari wa Russia walio mstari mbele kwenye ardhi ya Ukraine.Ni wazi sasa Ukraine wanataka kumaliza kazi yaani adui amerudi nyuma sana kutoka alikovamia sasa wanahitaji ile kitu ya mbali zaidi kufanya finishing mrusi wa mchongo arudi kwao
Tunasema askari walio katika ardhi ya ukraine ni wale walio mpakani ambao sasa watashughulikiwa ni advanced long range, Urusi walitega mabomu ya ardhini halafu wakaenda kukaa mbali sasa huko mbali waliko watapata majanga kwa kiwango kile kileSijui hii taarifa inapokewa vipi na askari wa Russia walio mstari mbele kwenye ardhi ya Ukraine.
AhsanteeUjerumani wao watapeleka Ukraine makombora ya Cruise,chapa Taurus yenye kwenda kilometa 500
....
![]()
Germany may transfer Taurus cruise missiles with a range of more than 500 kilometres to Ukraine after ATACMS deliveries
The epic story surrounding the supply of ATACMS ballistic missiles to Ukraine continues. Against this background, information has emerged about another Western weapon that the warring country needs.gagadget.com
Aisee rudisheni pesa za watu kabla hamjakamatwaTuna S-400![]()
ata man u wanaitwa mashetani wekundu ila hawajawa kuua mtu....Wasapoti nato mnatakiwa kujua mpo upande wa shetaniView attachment 2759692
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Sijui hii taarifa inapokewa vipi na askari wa Russia walio mstari mbele kwenye ardhi ya Ukraine.
HahahahaAisee rudisheni pesa za watu kabla hamjakamatwa