Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,261
Muungane kwanza kumaliza matatizo yenu, muungane kwanza kukataa misaada yake. Kama mnamuitaji kuwasaidia kwenye miradi yenu ya maendeleo hamuwezi kuunga kumpinga.
He he heeeee! jitoeni muone yatakayowapata. Mkipigwa sijui mtatumia sheria ipi?US ni nani katika UN mpaka aamuru nani aongoze wapi na wakati gani katika nchi za ulimwengu? Ndiyo maana kuna haja ya kuangalia upya uanachama wetu katika jumuhia hizi za kimataifa kama zina manufaa...!
Kwan ww umeelewaje maana ya "kuungana kumpinga???"
Uliyoyaorodhesha hapo ndio moja ktk kumpinga kwenyewe huko.
Utampingaje wakati badget yako inamtegemea yeye. Hata mataifa ya kiafrica yakiungana hayawezi kumaliza tatizo la budget tegemezi maana karibu yote yana tatizo hilo kwa hiyo hakuna wa kumsaidia mwenzake kulitatua.
Ignorantly stupid. Why defending stupidity? If you didn't know, now you should know that, USA is the Headquarters of UN. USA rules. Try to dare them you'll suffer the consequences of your stupidity...
behind the scene we are begging them for aid money and today we are saying they are no body we should not listen to them! ha ha ha ha
He he heeeee! jitoeni muone yatakayowapata. Mkipigwa sijui mtatumia sheria ipi?
exactly! but they are calling a wrong number, one of the reasons i need him to stay! I guess with Kagame, they have to reconsider, I remember during the genocide, the french intervened and ordered the RPF to halt their advance or face the French army... Kagame refused the order and within few hours the French(with Interahamwe) were all surrounded by the RPF! now Amb. Power should listen to this very careful...Americans got no real friends but only strategic friends. One thing Americans want to see happen in this world is having some parts of the world underdeveloped so that they can continue to bully us.