US ni nani katika UN mpaka aamuru nani aongoze wapi na wakati gani katika nchi za ulimwengu? Ndiyo maana kuna haja ya kuangalia upya uanachama wetu katika jumuhia hizi za kimataifa kama zina manufaa...!
Kwa kweli, hapo ndipo utata wa demokrasia unapokuja. Kwamba kama wananchi wameamua wanayemtaka,kwanini iwe tabu kwa US? hawa watu wanatizama maslahi yao na sio ya wa Rwanda. Ambacho ningetamani kusikia ni wao kushauri uchaguzi ufanyike kwa uhuru na wapinzani wapewe nafasi na haki ya kushiriki uchaguzi bila vitisho na kuwepo na tume huru itakayosimamia uchaguzi. Ila maamuzi ya walio wengi yaheshimiwe. Demokrasia ni kuheshimu mawazo na maamuzi ya walio wengi.
The thing is, wamarekani wanaelewa kuwa hayo 'maamuzi ya wananchi' ni geresha. Hakuna demokrasia Rwanda.
In democracy the source of authority of the government should be based on the consent of the governed. Ndio maana kuna uchaguzi,na ndio maana nimesisitiza washauri pengine kuwepo na political equality na wagombea wote wapewe usawa wa kushiriki. Wananchi waamue kwenye sanduku la kura nani awe Rais wao. Kama demokrasia inatambua uwepo wa vyombo vya uwakilishi wa wanachi na kuwa wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho inapaswa ikubali kuwa wakati mwingine wananchi wanaweza kuamua tofauti na kanuni za demokrasia kuhusu muda wa kuongoza, kwamba wananchi wakampenda mno kiongozi wakaamua aendelee tu kwa kazi nzuri aliyofanya.Wamarekani waliwaambia pia wananchi wa Libya, watu wa Iraq na Syria la kufanya,leo hii wanasuasua kupokea wakimbizi. Watu wa Rwanda waamue wenyewe wanachotaka.
Kama hakuna demokrasia Rwanda wasema wazi na wawaeleweshe watu wa Rwanda ila mwisho wa siku wawachie wafanye maamuzi yao kwakuwa matokeo ya maamuzi yao watayaishi wao wenyewe watu wa Rwanda.
kwa africa demokrasia ni tungo tata sana, demokrasia gan kwa tunayoyaona massive rigging, intimidation, killings kwa africa uchaguz ni source ya fujo kwan watawala mara nyingi wanatengeneza mazingira ya kushindwa kwa rafu na ikibid hata kwa mauaji au ubabe uliopitiliza, kwan hatukuona kule kigoma kafulila kashinda ana matokeo ya vituo vyote lakin ccm wakamtangaza tu mgombea wa ccm kibabe!!!!
mataifa ya magharibi wanaelewa ndio maana wanasisitiza muda wa kikatiba ukiisha basi iwe ndio mwisho!!!! No one is irreplecable!!!!
In democracy the source of authority of the government should be based on the consent of the governed. Ndio maana kuna uchaguzi,na ndio maana nimesisitiza washauri pengine kuwepo na political equality na wagombea wote wapewe usawa wa kushiriki. Wananchi waamue kwenye sanduku la kura nani awe Rais wao. Kama demokrasia inatambua uwepo wa vyombo vya uwakilishi wa wanachi na kuwa wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho inapaswa ikubali kuwa wakati mwingine wananchi wanaweza kuamua tofauti na kanuni za demokrasia kuhusu muda wa kuongoza, kwamba wananchi wakampenda mno kiongozi wakaamua aendelee tu kwa kazi nzuri aliyofanya.Wamarekani waliwaambia pia wananchi wa Libya, watu wa Iraq na Syria la kufanya,leo hii wanasuasua kupokea wakimbizi. Watu wa Rwanda waamue wenyewe wanachotaka.
Kama hakuna demokrasia Rwanda wasema wazi na wawaeleweshe watu wa Rwanda ila mwisho wa siku wawachie wafanye maamuzi yao kwakuwa matokeo ya maamuzi yao watayaishi wao wenyewe watu wa Rwanda.
kwa africa demokrasia ni tungo tata sana, demokrasia gan kwa tunayoyaona massive rigging, intimidation, killings kwa africa uchaguz ni source ya fujo kwan watawala mara nyingi wanatengeneza mazingira ya kushinda kwa rafu na ikibid hata kwa mauaji au ubabe uliopitiliza, kwan hatukuona kule kigoma kafulila kashinda ana matokeo ya vituo vyote lakin ccm wakamtangaza tu mgombea wa ccm kibabe!!!!
mataifa ya magharibi wanaelewa ndio maana wanasisitiza muda wa kikatiba ukiisha basi iwe ndio mwisho!!!! No one is irreplecable!!!!
Nani kampa USA nafasi ya Kuwa baba wa Africa? USA imuache RAIA wa Rwanda aamue anataka kuongozwa na nani.