US recognize Israel's sovereignty over Golan Heights

bmpingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
343
Reaction score
197
President Trump signed a document which states that US recognize the Golan Heights to be part of Israel. We all know, how these "sovereign" territories became under Israel in 1967. So, my learned friends, what is the difference between Golan Heights and Crimea? Au mwenye mbavu is always right? What will be a situation in the Middle East after this action?
 
Syria says that is an attack to it's sovereignty. Hawana namna tena wasubiri Iran iwe na nguvu ya kijeshi na kiuchumi ndio watapapata.
 
But this is the same annexation as of Crimea. Then, why Russia is fighting sanctions while Israel is getting a red carpet reception?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka Idd amin alipojaribu kwa Kagera, naona fahari na kujivunia jinsi tulivyotetea ardhi yetu. Ila Serikali ya marekani ni Zionist puppet, ipo kiganjani mwa Israel, akifanya Israel ni sawa, ila akifanya Russia ni kosa, hippocrites! By the way, Golan heights ni territory ya nchi gani?
 
Golan heights ni eneo la Syria lililotekwa na Israel wakati wa "vita ya siku sita" in 1967. Then in 1981, Israel wakadai officially kuwa ile ardhi ni ya kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But this is the same annexation as of Crimea. Then, why Russia is fighting sanctions while Israel is getting a red carpet reception?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewaza kama wewe na nadhani wachache sana wanaweza kukuelewa: Lakini kule Crimea na Golan Heights kuna utaofauti kidogo. Warusi walivamia Crimea na kuvunja sheria za kimataifa lakini baadae wakaitisha kura ya ambayo asilimia 80% ya wananchi wa Crimea walikuali kujiunga na shirikisho la Urusi. Upande wa pili Golan Heights ilichukuliwa kimabavu na hakuna kura yoyote iliyopigwa kuwauliza wakazi wa pale kama wanataka kujiunga na Israeli.

NB: Ila yote yanafanyika hivi, huu ni mfano mbaya sana (A bad precedent) maana muda siyo mrefu mtasikia Uchina naye kavamia bahari ya Uchina Kusini (South China Sea) maana anasema asilimia 80% yote ilikuwa ni yake. Sasa sijui kama Marekani au Urusi wanaweza kumzuia kule Baraza la Ulinzi na Usalama la Umoja wa Mataifa.
 
Nadhani huyu Trump ana mahaba ya kupitiliza kwa Israel kuliko marais waliotangulia kabla yake
 
Nimewaza kama wewe na nadhani wachache sana wanaweza kukuelewa: Lakini kule Crimea na Golan Heights kuna utaofauti kidogo. Warusi walivamia Crimea na kuvunja sheria za kimataifa lakini baadae wakaitisha kura ya ambayo asilimia 80% ya wananchi wa Crimea walikuali kujiunga na shirikisho la Urusi. Upande wa pili Golan Heights ilichukuliwa kimabavu na hakuna kura yoyote iliyopigwa kuwauliza wakazi wa pale kama wanataka kujiunga na Israeli.

NB: Ila yote yanafanyika hivi, huu ni mfano mbaya sana (A bad precedent) maana muda siyo mrefu mtasikia Uchina naye kavamia bahari ya Uchina Kusini (South China Sea) maana anasema asilimia 80% yote ilikuwa ni yake. Sasa sijui kama Marekani au Urusi wanaweza kumzuia kule Baraza la Ulinzi na Usalama la Umoja wa Mataifa.
Exactly! You got my point. But (just in case) China do that, will US, Israel and EU condem that action? By the way, I visited Crimea last year. And, i asked locals about their attitude about the annexation. You know what, majority said they are happy and would have voted same way again.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima awafurahishe waliompigia kura kwa wingi (White Evangelicals) kwa kutimiza kila ahadi yake.
Ni kweli ila huyu ameenda mbali kuliko kina Bush na Reagan ambao angalau waliweza kuzuia baadhi ya mipango ya Israel ili kuridhisha washirika wao huko arab world ila huyu hatambui hilo na wala hajali.
 
Exactly! You got my point. But (just in case) China do that, will US, Israel and EU condem that action? By the way, I visited Crimea last year. And, i asked locals about their attitude about the annexation. You know what, majority said they are happy and would have voted same way again.

Sent using Jamii Forums mobile app
Its easy for Crimea because the majority of people are ethnic Russians and they speak Russian language, unlike the Golan Height which is a home for only 27000 Syrians. But were does all this take us ? There's a British historian who once said in 2017 that the currents events unfolding in this era, are similar to the events which took place before the first world war. Military aggrandizement and territorial struggles were a main feature of the 19th and 20th Century politics. History is just repeating itself.
 
Ni kweli ila huyu ameenda mbali kuliko kina Bush na Reagan ambao angalau waliweza kuzuia baadhi ya mipango ya Israel ili kuridhisha washirika wao huko arab world ila huyu hatambui hilo na wala hajali.
This signifies one thing: The International Liberal Order built after 1945 which is based on International norms and Rules is crumbling and the nations are reverting the old system of balance of power and strength. Sheria za kimataifa siku hizi haziheshimiki sana kwasababu wababe wamekuwa wengi sana na hakuna ambaye anaweza kumpiga mkwara mwenzake kama ilivyokuwa zamani. Kila taifa kubwa linajifanyia linavyotaka kwasababu lina ghala la nyuklia na jeshi kubwa.
 
Huyu Mzee (Trump) huko mbeleni atasababisha mahusiano yake na waarabu kuwa tete na kuchochea vurugu mpya kwenye ulimwengu wa kiislamu.
 
Unajua hapo Golan Heights mwaka 2015 wamegundua kwamba kuna mafuta mengi sana. Marekani akiona mafuta akili huwaga zinaruka na tayari keshapeleka kampuni kufanya tafiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Syria says that is an attack to it's sovereignty. Hawana namna tena wasubiri Iran iwe na nguvu ya kijeshi na kiuchumi ndio watapapata.
... hebu tusubiri tuone reaction ya Mrusi kwenye hili saga; atakuwa pamoja na Syria/Iran au Israel?
 
Back
Top Bottom