Sasa jamani freedom of speech wanayohutubia dunia nzima iko wapi sasa?Al gore ameuza current TV kwa Aljazeera (Aljazeera ilikuwa inaonyesha tape Za Osama na anti America ).Nchi Yao na wanahaki ya kuwa na nuclear .Kila mtu na nchi yake,hivyo tangia Obama raisi Libya Syria Tunisia michafuko tuu .