US officials: US attack in Yemen kills al-Awlaki

BabuK

JF-Expert Member
Jul 30, 2008
1,845
328
An American-born cleric killed in Yemenplayed a "significant operational role" in plotting and inspiring attacks on the United States, U.S. officials said Friday, as they disclosed detailed intelligence to justify the killing of a U.S. citizen.
d0ee8ca9fa033b15fa0e6a70670095f7.jpg
Anwar al-Awlaki was killed early Friday in a strike on his convoy carried out by a joint operation of the CIA and the U.S. Joint Special Operations Command, according to counterterrorism officials. Al-Awlaki had been under observations for three weeks while they waited for the right opportunity to strike.
Following the strike, a U.S. official outlined new details of al-Awlaki's involvement in anti-U.S. operation, including the attempted 2009 Christmas Day bombing of a U.S.-bound aircraft. The official said that al-Awlaki specifically directed the men accused of trying to bomb the Detroit-bound plane to detonate an explosive device over U.S. airspace to maximize casualties.
The official also said al-Awlaki had a direct role in supervising and directing a failed attempt to bring down two U.S. cargo aircraft by detonating explosives concealed inside two packages mailed to the U.S. The U.S. also believes Awlaki had sought to use poisons, including cyanide and ricin, to attack Westerners.
The U.S. and counterterrorism officials all spoke on the condition of anonymity in order to discuss intelligence matters.
Al-Awlaki was killed by the same U.S. military unit that got Osama bin Laden. A U.S. official said that four individuals were killed in the attack.
Al-Awlaki is the most prominent al-Qaida figure to be killed sincebin Laden's death in May.
U.S. word of al-Awlaki's death came after the government of Yemen reported that he had been killed Friday about five miles from the town of Khashef, some 87 miles from the capital Sanaa.
The air strike was carried out more openly than the covert operation that sent Navy SEALs into bin Laden's Pakistani compound, U.S. officials said.
Counterterrorism cooperation between the United States and Yemen has improved in recent weeks, allowing better intelligence-gathering on al-Awlaki's movements, U.S. officials said. The ability to better track him was a key factor in the success of the strike, U.S. officials said. Officials spoke on condition of anonymity to discuss intelligence matters.
Al-Awlaki's death is the latest in a run of high-profile kills for Washington under President Barack Obama. But the killing raises questions that the death of other al-Qaida leaders, including bin Laden, did not.
Al-Awlaki is a U.S. citizen, born in New Mexico to Yemeni parents, who had not been charged with any crime. Civil liberties groups have questioned the government's authority to kill an American without trial.
U.S. officials have said they believe al-Awlaki inspired the actions of Army psychiatrist Maj. Nidal Hasan, who is charged with 13 counts of premeditated murder and 32 counts of attempted premeditated murder in the attack at Fort Hood, Texas.
In New York, the Pakistani-American man who pleaded guilty to the May 2010 Times Square car bombing attempt said he was "inspired" by al-Awlaki after making contact over the Internet.
Al-Awlaki also is believed to have had a hand in mail bombs addressed to Chicago-area synagogues, packages intercepted in Dubai and Europe in October 2010.
Al-Awlaki's death "will especially impact the group's ability to recruit, inspire and raise funds as al-Awlaki's influence and ability to connect to a broad demographic of potential supporters was unprecedented," said terrorist analyst Ben Venzke of the private intelligence monitoring firm, the IntelCenter.
But Venzke said the terror group al-Qaida in the Arabian Peninsula will remain the most dangerous regional arm "both in its region and for the direct threat it poses to the U.S. following three recent failed attacks," with its leader Nasir al-Wahayshi still at large.
Al-Awlaki wrote an article in the latest issue of the terror group's magazine justifying attacking civilians in the West. It's titled "Targeting the Populations of Countries that Are at War with the Muslims."
Al-Awlaki served as imam at the Dar al-Hijrah mosque in Falls Church, Va., a Washington suburb, for about a year in 2001.
The mosque's outreach director, Imam Johari Abdul-Malik, has said that mosque members never saw al-Awlaki espousing radical ideology while he was there and that he believes Awlaki's views changed after he left the U.S.
 
hamna kitu cha KIPUMBAVU maishani kama kufanya kitu kwa juhudi na maarifa wakati kimsingi kitu hicho hakikutakiwa kufanywa kabisa,Waislam amken,mna juhudi sana ya kufanya vitu ambavyo kimsingi hamkutakiwa kufanya...
 
ndugu wana jf najiulizaga sana maswali haya,kwanini viongozi wa alqaeda wote wamezaliwa america au kusoma america?
 
Jamani! Amkeni ninyi!, America ipo katika vita dhidi ya Uislamu[ japo hawawezi kutangaza hivyo waziwazi], kila kiongozi wa kidini atakayekuwa msitari wa mbele kuuelimisha ulimwengu juu ya dhulma za wamarekani katika dunia hii, watampa lebel ya ugaidi na watamuua,

hii pattern ya kushambulia nchi za kiislamu, ni kuwa intimidate Waislamu, wanywee, sasa hivi wanauwa watu kwa drones somalia, yemen, pakistan n.k

Alqaeda ni violence arm ya CIA, cheki huko libya, ambako alqaeda walishirikiana vizuri tu na NAto kumpiga gadafi. then unajiuliza je kweli wana nia njema au la?
 
Neno Alqaeda lililowahi kutumiwa na Osama halikumaanisha hivi ambavyo America wameliteka na kulitumia kuupiga vita Uislamu kote duniani.Yule sheikh alishiriki kikamilifu kuipiga Urusi kwa msaada wa kiteknolojia wa America,Ukafiri wa Urusi walioulazimisha Afghanistan ulitosha kuwaingiza vitani waislamu.Baada ya kumaliza kazi America kwa hofu ya itikadi ya kiislamu wakamgeuka Osama na kumbambikizia Alqaeda yenye kuuwa watu kote duniani.Madhumuni ni kupata sababu ya kuuwa waislamu na itikadi yao iliyoipinga USSR na kufanikiwa kuiangusha.
Kwa mtazamo huu kufa kwa Osama na wote wanaotajwa kuwa wafuasi wake wakuu akina Anwar AL-awlak hakutaiua Alqaeda kwani kazi ya kuupiga vita uislamu ni ngumu na ya muda mrefu.Kama alivyosema Gamba la Nyoka kila sheikh atakayekuwa anahubiri uislamu kama ulivyo ambao unapinga dhulma na ambayo ndiyo sera ya ubeberu lazima atasingiziwa kuwa ni Alqaeda na drone zitatumwa kumuwinda.Huyu Anwar ufuasi wake wa Osama ni wa kupangwa tu sijui iwapo hata wanajuwana kwa sura.Habari hii ni maarufu,hapa nakummbusha tu.
Zamani ilikuwa ni huko mbali sasa drones zimeshategeshwa Syschelles kwa ajili ya ukanda unaoanzia Yemen mpaka Msumbiji.Zanzibar kwenye mafuta ipo katikati ya shabaha za drones hizi.
Mengi yatafuata kuanzia sasa.
 
Wanaoongoza kwa kujitoa mhanga ni waarabu (waislam), mmarekani akiwanasa na kuwafanyia mnakimbilia kusema ooh ni vita dhidi ya uislam.kucha kutwa alqaeda(waarabu, waislam) wanapanga mashambulizi dhidi ya wamarekani, sasa wakiwawahi
na kuwafanyia eti ooh vita dhidi ya uislam. Pumbavu zenu, yaani mnataka waharifu waachwe wafanye wanavyotaka kwa ticket ya Uislam!! Uislam kamwe hauwezi kusapoti ujitoaji mhanga
 
mkuu nipenda sana mtizamo wako lkn kuna kitu kimoja,kama marekani aliweza kumtumia osama afhgan kwanini adui wao mkubwa wasimkuwa piga warusi atashindwa kumtumia tena aliawapige waiislamu? maana walipomkamata sadam adui wao(marekani).walimdhalilisha,je kwanini adui wao mkubwa zaidi wasimdalilishe?
 
Wanaoongoza kwa kujitoa mhanga ni waarabu (waislam), mmarekani akiwanasa na kuwafanyia mnakimbilia kusema ooh ni vita dhidi ya uislam.kucha kutwa alqaeda(waarabu, waislam) wanapanga mashambulizi dhidi ya wamarekani, sasa wakiwawahi
na kuwafanyia eti ooh vita dhidi ya uislam. Pumbavu zenu, yaani mnataka waharifu waachwe wafanye wanavyotaka kwa ticket ya Uislam!! Uislam kamwe hauwezi kusapoti ujitoaji mhanga
ndugu, mimi binafsi si isapoti alqaeda.imani yangu ni uislamu lkn alqaeda sio waislamu(wanfanya mambo nje na sheria za dini).kama nijuavyo marekani anamaslahi zaidi kwenye nchi za kiislamu kuliko waislamu kuwa na maslahi katika nchi ya marekani.kama si kosei vikundi vyote va kislamu wanafanya mashambulizi kwa kujitetea(kama wanavyodai) kwasababu za kunyimwa haki zao(ikiwemo ardhi zao,mafuta,na uhuru wa kuabudu).
 
Jamani! Amkeni ninyi!, America ipo katika vita dhidi ya Uislamu[ japo hawawezi kutangaza hivyo waziwazi], kila kiongozi wa kidini atakayekuwa msitari wa mbele kuuelimisha ulimwengu juu ya dhulma za wamarekani katika dunia hii, watampa lebel ya ugaidi na watamuua,

hii pattern ya kushambulia nchi za kiislamu, ni kuwa intimidate Waislamu, wanywee, sasa hivi wanauwa watu kwa drones somalia, yemen, pakistan n.k

Alqaeda ni violence arm ya CIA, cheki huko libya, ambako alqaeda walishirikiana vizuri tu na NAto kumpiga gadafi. then unajiuliza je kweli wana nia njema au la?
Wangekuwa wanashambulia uislam wangeanzia Saudia, na kama unadhani US anashambulia muda huu basi hujui nguvu za US. Angekuwa anashambulia uislam nadhani sasa hivi historia ingekuwa imeandikwa upya na watu wasingejua kama kulishawahi kuwa na tawala kama zile za Saudi Arabia, Iran, Oman na nyinginezo zinazojiita za kiislam.
 
Neno Alqaeda lililowahi kutumiwa na Osama halikumaanisha hivi ambavyo America wameliteka na kulitumia kuupiga vita Uislamu kote duniani.Yule sheikh alishiriki kikamilifu kuipiga Urusi kwa msaada wa kiteknolojia wa America,Ukafiri wa Urusi walioulazimisha Afghanistan ulitosha kuwaingiza vitani waislamu.Baada ya kumaliza kazi America kwa hofu ya itikadi ya kiislamu wakamgeuka Osama na kumbambikizia Alqaeda yenye kuuwa watu kote duniani.Madhumuni ni kupata sababu ya kuuwa waislamu na itikadi yao iliyoipinga USSR na kufanikiwa kuiangusha.
Kwa mtazamo huu kufa kwa Osama na wote wanaotajwa kuwa wafuasi wake wakuu akina Anwar AL-awlak hakutaiua Alqaeda kwani kazi ya kuupiga vita uislamu ni ngumu na ya muda mrefu.Kama alivyosema Gamba la Nyoka kila sheikh atakayekuwa anahubiri uislamu kama ulivyo ambao unapinga dhulma na ambayo ndiyo sera ya ubeberu lazima atasingiziwa kuwa ni Alqaeda na drone zitatumwa kumuwinda.Huyu Anwar ufuasi wake wa Osama ni wa kupangwa tu sijui iwapo hata wanajuwana kwa sura.Habari hii ni maarufu,hapa nakummbusha tu.
Zamani ilikuwa ni huko mbali sasa drones zimeshategeshwa Syschelles kwa ajili ya ukanda unaoanzia Yemen mpaka Msumbiji.Zanzibar kwenye mafuta ipo katikati ya shabaha za drones hizi.
Mengi yatafuata kuanzia sasa.
Inaonyesha na wewe ni mkuu wa kitengo fulani cha ujasusi, maana unavyoongea ni kama vile uko ndani ya al qaeda na CIA.
 
ndugu, mimi binafsi si isapoti alqaeda.imani yangu ni uislamu lkn alqaeda sio waislamu(wanfanya mambo nje na sheria za dini).kama nijuavyo marekani anamaslahi zaidi kwenye nchi za kiislamu kuliko waislamu kuwa na maslahi katika nchi ya marekani.kama si kosei vikundi vyote va kislamu wanafanya mashambulizi kwa kujitetea(kama wanavyodai) kwasababu za kunyimwa haki zao(ikiwemo ardhi zao,mafuta,na uhuru wa kuabudu).
Sasa kama wanajihami kwasababu ya kunyimwa haki, mbona wapo tayari kuua mtu asiyehusika kama vile waTZ na wakenya waliokufa 1998 wakati ni waumini wa haki. Halafu ardhi gani ya waislam iliyonyang'anywa? au ardhi ya wapalestina ndo ya waislam? Mafuta si yanasimamiwa na serikali zenu wenyewe, kama marekani amewashika akili viongozi wa nchi zenu kwanini msiwashughulikie viongozi wenu? kipi ni rahisi kwenu kushughulikia viongozi wasaliti wenu au US. Uhuru gani wa kuabudu mlionyimwa hivi US na Saudi arabia wapi kuna uhuru wa kuabudu?
 
Inaonyesha na wewe ni mkuu wa kitengo fulani cha ujasusi, maana unavyoongea ni kama vile uko ndani ya al qaeda na CIA.
Mimi simo katika kitengo chochote katika hivyo.Ila najuwa kwamba Marekani katika vita vyake dhidi ya uislamu imefanikiwa sana katika uwanja wa propaganda kwani watu wengi duniani wa dini zote wameamini kwamba ipo Alqaeda iliyokuwa ikiongozwa na Osama ambapo hatimaye katika kuhamahama kiongozi huyo aliishia Abbotabad Pakistan na mzigo wa flash disk zilizokuwa na kumbukumbu za kiofisi ambazo zilishikwa na CIA walipoingia nyumbani kwake na kumuua.foolish idea!
 
Kama sie tumeamini propaganda, sasa wewe umegunduaje kuwa hizo ni propaganda na sio ukweli? Halafu umejuaje kuwa anapigana na uislam wakati wengine tukiamini anapigana na ugaidi? Ntashukuru kama utanionesha kuwa unchosema wewe sio propaganda bali ukweli mtupu.
 
Wangekuwa wanashambulia uislam wangeanzia Saudia, na kama unadhani US anashambulia muda huu basi hujui nguvu za US. Angekuwa anashambulia uislam nadhani sasa hivi historia ingekuwa imeandikwa upya na watu wasingejua kama kulishawahi kuwa na tawala kama zile za Saudi Arabia, Iran, Oman na nyinginezo zinazojiita za kiislam.

wewe unadhani uislamu ni utawala wa kifalme wa Saudia?, Saudia kuna Makkah na Madina hicho ndicho kinachowaunganisha na waislamu wote duniani hivi sasa basi!.
uislamu ni mfumo, na marekani anapambana na mfumo, stratergy anayotumia ni pana (1) anatumia media na pundits kuupaka matope uislamu (2) anatumia vikundi vya kigaidi kupandikiza chuki ya watu dhidi ya uislamu (3) anawapa jina baya la kigaidi wanazuoni influential na kuwaua kwa drones (4) ana exploit divisions katika umma wa kiislamu visavis ushia na usuni (5) ana spy kwa raia wa kiislamu na kuwafanya waishi kwa uoga huko states (6) anatumia rushwa kuwanyamazisha baadhi ya waislmu wenye mamlaka wauchune

kiufupi Uislamu uko against dhulma, na ni kikwazo kikubwa kwa imperialist ambition za Marekani, kwa hiyo mmarekani anataka kuwadilute waislamu wawe submissive kwa sera zake za kibabe, lakini hii ni ngumu na haitawezekana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom