[emoji12][emoji1787]... Russia, the "mighty", anatumia Iranian satellites?
Lazima uumie Yahudi mweusi wa Nzega.... Russia, the "mighty", anatumia Iranian satellites?
Siku zote kumbuka,Juhudi ya masikini,wasiwasi kwa tajiri.US ni nchi yenye wivu wivu na kijicho.
Yenyewe kila kukicha inarusha satelites inaundwa silaha lakini akiunda mwingine eti inakuwa concerned 😁😁.
Kwa hiyo nchi yako msiyo na wivu vipi? Mna maji ya kutosha, madawa ya kutosha research facilities za kutosha , elimu bora kabisa etc. Pambana na Hali ya nchini kwako acha kushobokea nchi za watu period.US ni nchi yenye wivu wivu na kijicho.
Yenyewe kila kukicha inarusha satelites inaundwa silaha lakini akiunda mwingine eti inakuwa concerned 😁😁.
Ulicho quote na ulichouliza hata haviendani. Vipi wewe wakati waniquote umemaliza shida zako?Kwa hiyo nchi yako msiyo na wivu vipi? Mna maji ya kutosha, madawa ya kutosha research facilities za kutosha , elimu bora kabisa etc. Pambana na Hali ya nchini kwako acha kushobokea nchi za watu period.
cabeça de lesmaUlicho quote na ulichouliza hata haviendani. Vipi wewe wakati waniquote umemaliza shida zako?
Pambani na hali yako acha kushobokea watu period
Kujiandikisha lugha za watu hakukupunguzii shida pambana na hali yako periodcabeça de lesma
Kama ulikua hujui basi nakujuza,Iran alisha wahi kuishusha Drone ya US technical bila kuipiga,na ikatua chini salama kabisa kisha wazee wa kazi wakaanza kuistudy.Si ya Iran tena ngoja iingie anga la Ukraine igeuzwe mvua ya mabatibati na waya kushuka ardhini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Marekani ameanza kuingiwa na uchizi. Sasa hapo tatizo liko wapi??US officials concerned as Russia launches Iranian satellite
Media caption,
Watch: Moment Russia launches Iranian satellite into space
Russia has successfully launched an Iranian satellite into orbit amid US concerns over its planned purpose.
The satellite, called Khayyam, was launched from the Russian-leased Baikonur launch facility in Kazakhstan.
Iran has said it will be used for environmental monitoring and will remain under Tehran's control.
But last week, US officials told the Washington Post that they feared the satellite could be used by Moscow to spy on troop movements in Ukraine.
Russia has struggled to achieve military objectives in Ukraine and the officials alleged that Moscow's space agency, Roscosmos, told Tehran that it planned to maintain control over the satellite for "several months or longer" to assist with its war effort.
The unnamed sources added that the satellite could give Iran and Russia "unprecedented capabilities" to almost continuously monitor troop movements and bases.
Kupe kupe kubambaaaaaaaaaaa.cabeça de lesma
Alafu cha kushangaza utakuta kiazi mbatata anaizalau Iran kwa technology wakati marekani BP imepanda kwa kusikia Russia imelusha Iranian satelliteUS officials concerned as Russia launches Iranian satellite
Media caption,
Watch: Moment Russia launches Iranian satellite into space
Russia has successfully launched an Iranian satellite into orbit amid US concerns over its planned purpose.
The satellite, called Khayyam, was launched from the Russian-leased Baikonur launch facility in Kazakhstan.
Iran has said it will be used for environmental monitoring and will remain under Tehran's control.
But last week, US officials told the Washington Post that they feared the satellite could be used by Moscow to spy on troop movements in Ukraine.
Russia has struggled to achieve military objectives in Ukraine and the officials alleged that Moscow's space agency, Roscosmos, told Tehran that it planned to maintain control over the satellite for "several months or longer" to assist with its war effort.
The unnamed sources added that the satellite could give Iran and Russia "unprecedented capabilities" to almost continuously monitor troop movements and bases.
Supa-pawa anakwama wapi ?...... Russia, the "mighty", anatumia Iranian satellites?
Supapawa wa mchongo.Supa-pawa anakwama wapi ?...