Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,921
- 15,613
Mambo yamebadilika kwa Kapteni Brett Crozier aliyetumbuliwa baada ya kuomba msaada wa kupambana na corona aliyohisi inawashambulia timu yake kwenye meli ya USS Theodore Roosvelt (CVN 71).
Sasa hivi kapteni aonekana shujaa baada ya meli hiyo kufika Guam kisha mabaharia kuanza kufanyiwa vipimo vya corona. Mpaka ijumaa ya juzi, mabaharia 660 walikutwa na corona na mmoja wao alishafariki huku wengine 4000 wakiwa wametiwa karantini.