US: Kapteni Crozier aliyetumbuliwa kwa kuomba msaada dhidi ya Corona awa shujaa, mabaharia wake zaidi ya 600 wakutwa na Corona, 1 afa

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,921
15,613
Mambo yamebadilika kwa Kapteni Brett Crozier aliyetumbuliwa baada ya kuomba msaada wa kupambana na corona aliyohisi inawashambulia timu yake kwenye meli ya USS Theodore Roosvelt (CVN 71).

Sasa hivi kapteni aonekana shujaa baada ya meli hiyo kufika Guam kisha mabaharia kuanza kufanyiwa vipimo vya corona. Mpaka ijumaa ya juzi, mabaharia 660 walikutwa na corona na mmoja wao alishafariki huku wengine 4000 wakiwa wametiwa karantini.

Screenshot_2020-04-20-06-15-39-1.png

Screenshot_2020-04-20-06-09-13-1.png
 
Mambo yamebadilika kwa Kapteni Brett Crozier aliyetumbuliwa baada ya kuomba msaada wa kupambana na corona aliyohisi inawashambulia timu yake kwenye meli ya USS Theodore Roosvelt (CVN 71).

Sasa hivi kapteni aonekana shujaa baada ya meli hiyo kufika Guam kisha mabaharia kuanza kufanyiwa vipimo vya corona. Mpaka ijumaa ya juzi, mabaharia 660 walikutwa na corona na mmoja wao alishafariki huku wengine 4000 wakiwa wametiwa karantini.

View attachment 1424238
View attachment 1424239
kuna watu walihoji kufukuzwa ama kuhojiwa daktari wa US baada ya kutopokwa bila kufuata sheria za TAIFA lake ila hawakuhoji nawala hawatakaa wahoji kufukuzwa kwahuyu MWANAUME alousema ukweli ambao kwawakati ule ulionekana upotoshaji nasasa unaonekana ukweli wake

TURAMPET Raisi wahovyo kabisa.

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom