mimi labda wakuu mnijuze, kwani bado sijaelewa hasa shida ya snowden kwenye ishu ya udukuzi, kwani sijajua anawezaje mtu kulisaliti taifa lake na kulifanya uchi mbele ya dunia wakiwemo maadui wa marekani, hivi shida yake ni nini sasa. i think he went too far in this issue. mpaka nahisi jamaa atakuwa amezulumiwa kitu ambacho hajakiweka hadharani. yaani sio tu maneno ya juu juu anayoyasema
sure! du! umewaza mbali sana,kweli yote yanawezekana mkuu.mimi nawaza tofauti mkuu.i think edward is a spy who still works on behalf of the US goverment and pretending like a betrayer for his country.huwa najiuliza kwanini destination yake ni russia.?kwanini hakukimbilia kuomba hifadhi ktk maficho ya siri ya makundi hatari ya kigaidi the like of alqaida?.