Us fighting for ali abdulla

Us fighting for ali abdulla

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Katika hizi vurugu na vita vya dunia vinavyoendelea Marekani na washirika wake wanaonekana kukosa nguvu na kupata hofu kubwa katika mzozo wa Yemen.Inaonekana hali inaweza kubadili mwelekeo na kuwarusia wenyewe kwani kupitia Yemen watu wasiiopendeza kwao wanaweza kupata silaha na kujenga nguvu ambayo itakuwa tabu kuishughulikia.
Kutokana na hivyo ndipo sasa US imeamua kupigana pamoja na jeshi la Yemen.
U.S. resumes airstrikes in Yemen; government forces battle militants
 
Back
Top Bottom