Daftari la Watoro
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 381
- 826
Unajing'ata mwenyewe, Magovi tunawajua sio waPalestina wala waIsrael.Very nice; very nice; very nice. Jerusalem Mji wa Bwana wa Majeshi. Wasiotahiriwa nao eti wanataka waumiliki Mji ule Mtakatifu! How? Machukizo mbele za Bwana aliyeziumba mbingu na nchi.
Wale wanaooana mtu na binamu yake! Kinyaa!Unajing'ata mwenyewe, Magovi tunawajua sio waPalestina wala waIsrael.
Naam; upanga ukatao kuwili. Ni wajibu wetu kuisema ile kweli hata kama wengine wataudhika Mkuu. Yerusalem, Mji aliouchagua Bwana mwenyewe, kuondoshwa katika Israel ni zaidi ya matusi kwa Kiti cha Enzi.Maneno ya ndan sana haya mkuu...haya hata ibilis akiyasikia hufumba macho manake ni makali kama sifongo
Bwana hulitimiza neno lake sawa sawa na ahadi zake Mkuu no matter itachukua muda gani.Mbingu na nchi zitapita lakini neno halitarudi bure,analiangalia neno lake apate kulitimiza. Jerusalem, Jerusalem mwanangu hatimaye umejitambua.
Fala mkubwa wewe na mashoga zako USAVery nice; very nice; very nice. Jerusalem Mji wa Bwana wa Majeshi. Wasiotahiriwa nao eti wanataka waumiliki Mji ule Mtakatifu! How? Machukizo mbele za Bwana aliyeziumba mbingu na nchi.
Kwani tel Aviv iko nchi gani mkuu?Kwa nini Tanzania ilifungua ubalozi tel aviv Badala ya Israeli?
Jiwe si kidume?
So? Stupidity of the highest order.Fala mkubwa wewe na mashoga zako USA
Msimhusishe Mungu na mashetani yaliyolaaniwa yasiyo mkiri Yesu kristo.So? Stupidity of the highest order.
Hahahahaaaa, ni kizazi cha nani?Msimhusishe Mungu na mashetani yaliyolaaniwa yasiyo mkiri Yesu kristo.
Wayahudi hawamkubali yesu kama mwokozi, wewe unapayuka bila aibu eti kuishangilia Israel kwa misingi ya maandiko!
Kuweni na akili wayahudi ndio mashoga na wapinga kristo wakuu. Wewe unabwabwaja bila aibu.
Israel ya sasa haina utukufu wowote, wacha watandikwe tu.
Sitaki kwenda mbali ila tambua ya kwamba, wayahudi walipomkataa Kristo, alisema "jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe la pembeni"Hahahahaaaa, ni kizazi cha nani?
Tuvumiliane kiimani; sio kila unachoamini wewe ni sahihi kwangu wala sio lazima imani yako iwe sahihi kwangu; matusi ya nini? Rejea hukumu ya Mahakama ya Rufaa, Kesi ya Dibagula - Yesu sio Mungu.Msimhusishe Mungu na mashetani yaliyolaaniwa yasiyo mkiri Yesu kristo.
Wayahudi hawamkubali yesu kama mwokozi, wewe unapayuka bila aibu eti kuishangilia Israel kwa misingi ya maandiko!
Kuweni na akili wayahudi ndio mashoga na wapinga kristo wakuu. Wewe unabwabwaja bila aibu.
Israel ya sasa haina utukufu wowote, wacha watandikwe tu.
Mwenyewe una-refer maandiko halafu unanishangaa mimi kutumia maandiko hayo hayo. Ni rahisi mbingu na nchi kupita kuliko Israel kukoma kuwa taifa teule la Mungu. Kama una maandiko yako yanayosema vingine hayo ni yako.Sitaki kwenda mbali ila tambua ya kwamba, wayahudi walipomkataa Kristo, alisema "jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe la pembeni"
Ufalme wa mbingu umefunuliwa kwa mataifa yote, hakuna taifa teule sasa, mteule ni yeyote anayezishika amri za Mungu na sio kuanza kusimuliana habari za waasi wasiomtambua kristo, hawataishi kwa amani walishalaaniwa kwa kumkana Masihi.
Kama wewe ni mkiristo na unaamini yesu siyo Mungu basi ndio maana hujui unachosema, umepotoka sana ndio maana unashangilia usiyoyajua kiundani,Tuvumiliane kiimani; sio kila unachoamini wewe ni sahihi kwangu wala sio lazima imani yako iwe sahihi kwangu; matusi ya nini? Rejea hukumu ya Mahakama ya Rufaa, Kesi ya Dibagula - Yesu sio Mungu.
Jiwe linapenda kuhamishwa hamishwa...hivyo limeenda Tel Aviv ili walihamishie Jerusalem.Kwa nini Tanzania ilifungua ubalozi tel aviv Badala ya Israeli?
Jiwe si kidume?
Ufalme wa MUNGU umefunuliwa kwa mataifa yote, ndio maana hata wewe ambaye sio muisrael unajiita mkiristo kwa sababu ufalme wa MUNGU umefunuliwa kwa mataifa yote.Mwenyewe una-refer maandiko halafu unanishangaa mimi kutumia maandiko hayo hayo. Ni rahisi mbingu na nchi kupita kuliko Israel kukoma kuwa taifa teule la Mungu. Kama una maandiko yako yanayosema vingine hayo ni yako.
Very nice; very nice; very nice. Jerusalem Mji wa Bwana wa Majeshi. Wasiotahiriwa nao eti wanataka waumiliki Mji ule Mtakatifu! How? Machukizo mbele za Bwana aliyeziumba mbingu na nchi.
Mkuu umekielewa ulichokiandika.....Kwa nini Tanzania ilifungua ubalozi tel aviv Badala ya Israeli?
Jiwe si kidume?
HAKI NI UBATIZO TUKuhamisha embassy kwenda Jerusalem hakubadili kitu, Wapalestima wapo na wataendelea kuwepo mpaka wapate haki zao. Israeli kabakia ni kupe tu ambae anaimaliza US kwa vita inavyopigana kwa ajili ya Israel na misaada mikubwa anayotoa kwa Israeli - taifa lililo laaniwa na ambalo limeahidiwa halitashi kwa Amani mpaka mwisho wa dunia sababu ya ubaya kwa binaadamu wenzao. Wamepata vipigo vikubwa kuanzia kwa farao, warumi , hitler n.k na kulia kilio cha mbwa maisha yao yote kudai kuwa wanaonewa. Lakini haya yote ndio wameandikiwa na laana zinaendelea.
Amerika inafilisika sababu ya ubabe na kushindwa kushindana na mataifa mengine kiuchumi - andalia hii video itakupa picha