Poleni ndugu zetu.
Nasikia kuna baridi huko, baadhi ya majimbo mpaka -44 degrees. Ila hongereni watu walile jimbo mlilohalalishiwa kununua bangi madukani.
Source:CNN
Miji kadhaa imeshauri watu kubaki majumbani mwao.
Safari zaidi ya 500(mia tano) za ndege zimesitishwa.
Ila wenzentu wako mbali. Hizo 500 ni zile zilizositishwa tu. Sijui kwa siku wanawezakuwa na ndege ngapi zituazo na kuruka toka USA.