US Air Force launches 52 fighter jets in Middle East training exercise this evening

Yaani nimeshangaa sana leo kuona wabunge wa Iran wanapiga kura za kuitambua Pentagon na USA kama ma terrorists huku wanapeana pongezi na kusmile.

hemu mtu awatumie clips za nyerere baada ya kuambiwa amini kavamia.

Hata nimemuona Khamenei analia. nikasema kwisha kazi, mtu akilia anatoa sumu mwilini na akili za kigomvi zinaishia hapo.
 
Kitu ambacho Dunia itashanga na kufunga mdomo ni jinsi Trump atakavyo imaliza Iran na Hilo ndio kusudio lake tena kawaambia hii itakua kwasababu ya wamarekani 52 waliotekwa miaka mingi iliyopita!!!..kuna vita mmarekani anasema it's for the world hapo kuna simile kidogo lakini hii ni kwa ajili ya Marekani!!!..Iran atulie tu vinginevyo hakuna wakumsaidia wakati huu!!!..
 
mkubwa hatishiwi nyau,katika kosa ambalo trump amechemka ni kumuua yule jamaa,ikianza vita usa na iran,dunia nzima itachafuka kwa wanaharakati wa kujitoa mhanga,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanaharakati anaejitoa mhanga na hayupo!!!..sisi tuongee tu lakini unadhani kujitoa mhanga ndio suluhisho!!... Mmarekani kashasema Iran ina fadhili vikundi vya kigaidi na huyo aliyeuwawa ndio kiongozi wa mission hizo!!.. Mmarekani anakwambia wa Iran wameichoka serikali Yao,,.. Mmarekani anakwambia hii itakua kwaajili ya wamarekani 52!!!..Sasa Iran akae kimya tu au watageuka kuwa Kama Iraq
 
amewafanya waonekane kama mabata
Vip na marekani ilipo dhalilishwa kwa kuitungua ndege waliokuwa wana tuaminisha ndio yenye teknorojia kuliko ndege zote duniani tena ikiwa kwenye anga la kimataifa na wenyewe walionekana kama mabata?
 
Unasema wairani wamechoka serikali yao uko sawa kweli?
Umeyaona mapokezi ya mwili wa koongozi unaye sema anachukiwa?
 
Kama wao walivyo onekana Njiwa Kipindi walipo Itungua DRONE
amewafanya waonekane kama mabata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji2][emoji4][emoji2][emoji4][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitu ambacho Dunia itashanga na kufunga mdomo ni jinsi Trump atakavyo imaliza Iran na Hilo ndio kusudio lake tena kawaambia hii itakua kwasababu ya wamarekani 52 waliotekwa miaka mingi iliyopita!!!..kuna vita mmarekani anasema it's for the world hapo kuna simile kidogo lakini hii ni kwa ajili ya Marekani!!!..Iran atulie tu vinginevyo hakuna wakumsaidia wakati huu!!!..
IRAN Hahitaji Msaada Wa Mtu Na US Hawez Kuishambulia IRAN

OVER...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mwanaharakati anaejitoa mhanga na hayupo!!!..sisi tuongee tu lakini unadhani kujitoa mhanga ndio suluhisho!!... Mmarekani kashasema Iran ina fadhili vikundi vya kigaidi na huyo aliyeuwawa ndio kiongozi wa mission hizo!!.. Mmarekani anakwambia wa Iran wameichoka serikali Yao,,.. Mmarekani anakwambia hii itakua kwaajili ya wamarekani 52!!!..Sasa Iran akae kimya tu au watageuka kuwa Kama Iraq
Kwan wame anza kusema leo kwamba jamaa wanafadhili UGAIDI Kuichoka serikali pia hawaja anza leo

Kama wanafadhili UGAIDI Wawapige Ili Wasifadhili Tena [emoji16][emoji3][emoji2][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema wairani wamechoka serikali yao uko sawa kweli?
Umeyaona mapokezi ya mwili wa koongozi unaye sema anachukiwa?
Jamaa wamepanic sanaa asee mpaka hawajui wanaongelea nn [emoji23][emoji23][emoji2]

Ila wakumbushe 2 hakuna Vita US Hatathubutu Kumgusa MUAJEMI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ata osama alivouawa kuna wengne walisema itazuka vita mara kutatokea majasusi wengne ila waarab walikaa kimya maana kama hujui strategies na complexity za vita we kaa kimya tu.

Usa hawez shndwa na ataiangamizq sana iran itakuwa kama syria watu hawajui maana ya military industrial complex iliyopo marekan wanapenda vita ianze ili vifaa vya vita viuzike duniani kote wakiwa wao ndo watengenezaji na ma supplier wakubwa.

Iran kaa pemben funga mdomo eendelea na biashara ya mafuta
 
Hawana jipya ndo washamaliza hasira zaidi ya hapo wameambiwa washambulie kokote wakione cha mtema kuni shubamiti
Yaani nimeshangaa sana leo kuona wabunge wa Iran wanapiga kura za kuitambua Pentagon na USA kama ma terrorists huku wanapeana pongezi na kusmile.

hemu mtu awatumie clips za nyerere baada ya kuambiwa amini kavamia.

Hata nimemuona Khamenei analia. nikasema kwisha kazi, mtu akilia anatoa sumu mwilini na akili za kigomvi zinaishia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vip na marekani ilipo dhalilishwa kwa kuitungua ndege waliokuwa wana tuaminisha ndio yenye teknorojia kuliko ndege zote duniani tena ikiwa kwenye anga la kimataifa na wenyewe walionekana kama mabata?
Mnatungua denge toy wao wanakutungua wewe mwenyewe [emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom