EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Kwaiyo tukilia ndo itashuka?Furahieni tu ilhali huku kwetu bei ya mafuta, toothpick, na kiberiti inapanda.
Likewise, muda ule mambo yatakaposanuka na kuvungunyuka, msije kulialia kama vifaranga vya chiriku.
Basi wewe ni mmoja wa watoto wa mafisadi tz...mama kahaba ,baba fisadi ,mtoto anauza ngada ..nakumbushia tu ule wimbo wetuAsee huu mji mzur sana watalii wanaenda sana ata sie watanzania tulikuw tunawapinga kizinga wazee tukale likizo odessa[emoji1]π₯²
Afu sio wte wanaosoma nje ni mafisadi watu wote walisoma Ukraine wawili tu walikuw official ambapo kulikuw na mtoto wa mbunge na mkurengenz wengine wote wazaz wetu wa kawaida kuna watoto wa maengineer,daktar wenye biashara kariakooBasi wewe ni mmoja wa watoto wa mafisadi tz...mama kahaba ,baba fisadi ,mtoto anauza ngada ..nakumbushia tu ule wimbo wetu
Nikweli ila wanao kusomesha ndiyo wanakuwaga mafisadi mara nyingi...wewe unayesomeshwa uwezi kujuaAfu sio wte wanaosoma nje ni mafisadi watu wote walisoma Ukraine wawili tu walikuw official ambapo kulikuw na mtoto wa mbunge na mkurengenz wengine wote wazaz wetu wa kawaida kuna watoto wa maengineer,daktar wenye biashara kariakoo
Note ada ni 15m per year.
π€π»π€π»π€π»πͺπ»πͺπ»Three #Russian Air Force Ilyushin planes landed in #Tehran's Mehrabad Aiport Iran [emoji1130] earlier today ahead of President Putin's state visit to #Iran. https://t.co/qMLwtpo8cs
60% ya vitu vilivyopanda bei Tanzania havina uhusiano na hiyo vita.Furahieni tu ilhali huku kwetu bei ya mafuta, toothpick, na kiberiti inapanda.