Utakuwa haufuatilii vizuri haya mambo. Urusi kwa sasa amejiimarisha sana kitekinolojia.Acheni kumpa promo mrusi,hana vitu vya maana toka isambaratike.
Mkuu Israel wale hawanaga simile wale ukirusha hata baruti ikatua kwenye ardhi yao lazima walipize tena hawachukui hata mda. Half kingine Israel ina kombora linaloweza kufika Pyongyang.Bado North Korea kufyetua kombora la masafa marefu hadi Syria kwenda kumtisha Isreal, we are waiting
acha uongo jericho linafika km 5000 tuMkuu Israel wale hawanaga simile wale ukirusha hata baruti ikatua kwenye ardhi yao lazima walipize tena hawachukui hata mda. Half kingine Israel ina kombora linaloweza kufika Pyongyang.
Israel wana kombora linaitwa Jericho III(ICBM) Range yake ni 11,500km. Huku umbali toka Israel had Korea ni 8038km. Hvyo Israel inaweza kupiga popote pale ndani ya North korea.
Kwani ni Urusi tu ndo nimemtaja mkuu?!Ww inaonekana ni Pro - Marekani. Russia unajua ameingia lini Syria? Ni kwa nn useme anatest silaha zake as if hujui kazi kubwa aliyifanya ya kuwachakaza ISIS/ISSIL katika ardhi ya Syria? Nani rafiki wa kweli wa Syria?
Hii haina ubishi, U.S.A hawataki serikali ya ASSAD, wkt RUSSIA ndio mshirika wake mkuu na aliyeanzisha ISIL anajulikana, anae.sapoti waasi wa Syria anajulikana. na mwisho anaye.test zana zake Syria anajulikana. Ila aliyeenda kufanya kweli kafanya kweli ni rafiki wa hali na mali.Kwani ni Urusi tu ndo nimemtaja mkuu?!
Mkuu Russia na US wote wanasapot magaidi.Mbona Russia anawapa silaha na kusapot Taleban. US anaunga mkono ISIS.Iran inaunga mkono Hezbollah. Israel inatibu ISIS.Hii haina ubishi, U.S.A hawataki serikali ya ASSAD, wkt RUSSIA ndio mshirika wake mkuu na aliyeanzisha ISIL anajulikana, anae.sapoti waasi wa Syria anajulikana. na mwisho anaye.test zana zake Syria anajulikana. Ila aliyeenda kufanya kweli kafanya kweli ni rafiki wa hali na mali.