Urusi yasema Uingereza ikiichokoza, itaifuta kutoka uso wa dunia!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
18,173
13,776
HomeNews
UK risks being ‘wiped off the map with nuclear counterstrike’ – Russian senator
Published time: 25 Apr, 2017 14:25Edited time: 25 Apr, 2017 14:48
58ff5c0ac461889f398b4592.jpg

© Alexander Vilf / Sputnik

The UK, which recently said it could launch a preemptive nuclear strike “in the most extreme circumstances,” runs the risk of being “wiped off the face of the Earth,” the deputy head of a Russian upper house committee said.

Read more

Source: Russian RT

MY TAKE
Watu wanajitayarisha kisaikolojia kwa World War III
 
Tanzania tuna madini ya Uranium kwa wingi na wataalam wa nuclear physics Kama Dr. Gharib Bilal kwa nini tusianze kujenga makobora ya nuclear incase ikilipuka nuclear war na sisi tuweze kushambulia endapo tutachokozwa?
 
Yaani umeshindwa kutafsiri duu umeileta nzima nzima jali lugha yako mkuu haya sawa basi, lakini Uingereza ameenza kuleta vitisho eti atajilinda kwa nyuklia, Vladimir nae ameonya kazi ipo mwaka huu kisa Marekani na maslahi yake, bado Mkuu wa vimacho vidogo hajakohoa yupo neutral machomacho alibaba too much Kariakoo mizi minga minga hahahahah
 
Shida

Shida yetu ni moja: mfumo wa kitaaluma hautujengi kuwa watu wa kufanya mambo kwa yetu kwa ushirika.Mfumo unatoa watu wanaotamani kila mtu afanye jambo kivyake vyake ili "atoke".Angalia hata projects tunazofanya vyuoni kila mtu analazimishwa afanye yake peke yake.Lakini wanafunzi wanne au watano wangeweza kupewa project moja na kila mwanafunzi akapewa part tu ya kushughulikia Na kisha wote wakakutana ku-intergrate findings zao pamoja na kwa njia hiyo kila mmoja akawa ameshiriki kufanya hiyo project.
Sasa mkuu wewe unaongelea Suala la Dr.Bilali.Nuke haiundwi na mtu mmoja.Ni kitu kina-involve desciplines mbalimbali za kitaaluma.Sasa kama watu hawajalelewa ku-intergrate mawazo yao pamoja unafikiria interphasing ya jambo kama Nuclear Weapons itawezekanaje? Mimi naona siku tukiweza ku-solve hii equation ya failure yetu Basi tutaweza kuanza safari ya kuelekea mapinduzi ya tekinolojia kama wenzetu
 
Yaani umeshindwa kutafsiri duu umeileta nzima nzima jali lugha yako mkuu haya sawa basi, lakini Uingereza ameenza kuleta vitisho eti atajilinda kwa nyuklia, Vladimir nae ameonya kazi ipo mwaka huu kisa Marekani na maslahi yake, bado Mkuu wa vimacho vidogo hajakohoa yupo neutral machomacho alibaba too much Kariakoo mizi minga minga hahahahah
 
Yaani umeshindwa kutafsiri duu umeileta nzima nzima jali lugha yako mkuu haya sawa basi, lakini Uingereza ameenza kuleta vitisho eti atajilinda kwa nyuklia, Vladimir nae ameonya kazi ipo mwaka huu kisa Marekani na maslahi yake, bado Mkuu wa vimacho vidogo hajakohoa yupo neutral machomacho alibaba too much Kariakoo mizi minga minga hahahahah
Wasingeamini angeleta kwa kiswahili wabongooo wangetaka source
 
Back
Top Bottom