Naamini Wamarekani watarudi kwa Siri ili waombe kuichunguza kwa nia ya kuikopy na kufanya reverse engineering na pia kurekebisha ndege Zao ili ziweze kupenya S300 .Aaa ha ha ha. Lol! Nchi ya NATO.Wakati kuna S400 na S500 inakuja.MACE XIII
Haya yalikua ni mazoezi ya kivita yaliyofanywa na NATO 16-23/4/2012 maalum kwa ajili ya kujifunza ni jinsi gani wanaweza kupambana na kuishinda mitambo ya ulinzi wa anga wa Urusi na nchi nyingine zenye mitambo ya ulinzi wa anga iliyotengenezwa nchini Urusi na Soviet ya zamani
Mazoezi hayo yalifanyika nchini Slovakia katika uwanja wa ndege wa Sliac na maeneo yanayozunguka uwanja huo na yalikua ni mazoezi yaliyofanywa rasmi kupambana na mitambo ya S-300PMU-1 yanayomilikiwa na jeshi la anga Slovakia moja kati ya nchi za NATO zinazotumia siraha za kirusi.
Ndege zilizotumika katika oparesheni hii zilikua ni
**Ndege inayotoa taarifa za mapema juu ya hali ya anga(AWACS) ya Amerika aina ya E-3
**Ndege inayotumika kujam mitambo ya ulinzi wa anga ya adui aina ya E/F-18 ya Spain
**Ndege zinazotumika kwa mapambano ya angani na ardhini aina ya F-16 kutoka Denmark, Mirage 2000 na Rafale D kutoka Ufaransa, DA-20 ya Norway, LAARJET-40 kutoka Ujerumani, F-4 ya Uturuki na MIG-20 na L-39(Albatros) za Slovakia
Kilichafanyika katika mazoezi hayo ilikua ni kuingilia mawasiliano na kujam mitambo ya S-300 ili iwe rahisi kuishambulia mitambo hiyo bila yenyewe kuweza kujibu mashamulizi.. NATO walichokigundua ni kua pamoja na kua na ndege za kisasa zinazoweza kujam mawasiliano ya mitambo hiyo bado mitambo hiyo iliweza kuendelea kutrack ndege zote zilizohusika kwenye oparesheni hiyo na kama ingekua ni vita halisi basi mitambo hiyo bado ingeweza kushambulia na kuziharibu ndege za adui
Pia NATO waligundua kua ikiwa mitambo hiyo inapata maopareta wenye ujuzi wa kutosha na ikatengenezwa network nzuri za hii mitambo inauwezo wa kulinda anga kwa zaidi ya asilimia 80
Swali la kujiuliza kwa watu wa NATO ni je kama walishindwa kuijam S-300PMU-1 ambayo ni version ya kuuza nje ya nchi itakua vipi wakipambana na S-300V ambayo ni version iliyoboreshwa zaidi kwa ajili ya jeshi la Urusi na mtambo wa kisasa zaidi wa S-400 na Pantsir-S1..
Nawakumbusha tena Amerika kua kama hawatatuliza vichwa wakajidanganya kuivamia Urusi, vita hii haitakua rahisi kwao
Warudi wapi Mkuu, ni Nani atakaye waruhusu kupewa idhini ya kukopi....??Naamini Wamarekani watarudi kwa Siri ili waombe kuichunguza kwa nia ya kuikopy na kufanya reverse engineering na pia kurekebisha ndege Zao ili ziweze kupenya S300 .Aaa ha ha ha. Lol! Nchi ya NATO.Wakati kuna S400 na S500 inakuja.
kinachoniogopesha ni pale putin atakpotoka madarakani maana rais wa kwanza alifanya hvi akaja wa pili akaiuza urusi kwa marekani swali ni kwamba huyo atakaye kuja atauweza huu mzikiiiMACE XIII
Haya yalikua ni mazoezi ya kivita yaliyofanywa na NATO 16-23/4/2012 maalum kwa ajili ya kujifunza ni jinsi gani wanaweza kupambana na kuishinda mitambo ya ulinzi wa anga wa Urusi na nchi nyingine zenye mitambo ya ulinzi wa anga iliyotengenezwa nchini Urusi na Soviet ya zamani.
Mazoezi hayo yalifanyika nchini Slovakia katika uwanja wa ndege wa Sliac na maeneo yanayozunguka uwanja huo na yalikua ni mazoezi yaliyofanywa rasmi kupambana na mitambo ya S-300PMU-1 yanayomilikiwa na jeshi la anga Slovakia moja kati ya nchi za NATO zinazotumia siraha za kirusi.
Ndege zilizotumika katika oparesheni hii zilikua ni
**Ndege inayotoa taarifa za mapema juu ya hali ya anga(AWACS) ya Amerika aina ya E-3
**Ndege inayotumika kujam mitambo ya ulinzi wa anga ya adui aina ya E/F-18 ya Spain
**Ndege zinazotumika kwa mapambano ya angani na ardhini aina ya F-16 kutoka Denmark,
Mirage 2000 na Rafale D kutoka Ufaransa, DA-20 ya Norway, LAARJET-40 kutoka Ujerumani, F-4 ya Uturuki na MIG-20 na L-39(Albatros) za Slovakia.
Kilichafanyika katika mazoezi hayo ilikua ni kuingilia mawasiliano na kujam mitambo ya S-300 ili iwe rahisi kuishambulia mitambo hiyo bila yenyewe kuweza kujibu mashamulizi.
NATO walichokigundua ni kua pamoja na kua na ndege za kisasa zinazoweza kujam mawasiliano ya mitambo hiyo bado mitambo hiyo iliweza kuendelea kutrack ndege zote zilizohusika kwenye oparesheni hiyo na kama ingekua ni vita halisi basi mitambo hiyo bado ingeweza kushambulia na kuziharibu ndege za adui.
Pia NATO waligundua kua ikiwa mitambo hiyo inapata maopareta wenye ujuzi wa kutosha na ikatengenezwa network nzuri za hii mitambo inauwezo wa kulinda anga kwa zaidi ya asilimia 80
Swali la kujiuliza kwa watu wa NATO ni je kama walishindwa kuijam S-300PMU-1 ambayo ni version ya kuuza nje ya nchi itakua vipi wakipambana na S-300V ambayo ni version iliyoboreshwa zaidi kwa ajili ya jeshi la Urusi na mtambo wa kisasa zaidi wa S-400 na Pantsir-S1.
Nawakumbusha tena Amerika kua kama hawatatuliza vichwa wakajidanganya kuivamia Urusi, vita hii haitakua rahisi kwao
Hilo ni swali fikirishi sana. Ingawa Russia wamejifunza sana kutoka kwenye kile alichokifanya Mikail Goberchov.kinachoniogopesha ni pale putin atakpotoka madarakani maana rais wa kwanza alifanya hvi akaja wa pili akaiuza urusi kwa marekani swali ni kwamba huyo atakaye kuja atauweza huu mzikiii
Niwazalo Mimi nawe kumbe unalo...! Kumpata wa ku-maintain ubaba huu ni ngumu sana! Shikamoo Rafiki yangu Putin!kinachoniogopesha ni pale putin atakpotoka madarakani maana rais wa kwanza alifanya hvi akaja wa pili akaiuza urusi kwa marekani swali ni kwamba huyo atakaye kuja atauweza huu mzikiii
Hyo S300 Israel mwenyewe anaiweza sembuse US... wameanza kuifanyia mazoez tangu 2006 sio Jana wala juz... Angalia hpo chini jenerali wa Urusi anaeleza kwamba ukishjua tyu system inafanye kaz ni rahisi kuiharibu coz wewe unakua unacheza na Frequencies zake tyu badala ya rada kuona target moja inaona mbili, kumi ht 20 km ukitaka
Hiyo ishu kwa kweli ni ngumu mno kuaminika kwa mrithi wa Vladimir Putin kwenye kiti hicho cha moto cha Urais wa Ulimwengu.Niwazalo Mimi nawe kumbe unalo...! Kumpata wa ku-maintain ubaba huu ni ngumu sana! Shikamoo Rafiki yangu Putin!
Haya kwenye picha ni MADUDE gani mkuu..!?
Yanaitwa Air defense System,Haya kwenye picha ni MADUDE gani mkuu..!?
Yaani hizo vitu ndio zinalinda anga lote la nchi ya URUSI..!?Yanaitwa Air defense System,
yani hiyo ndio beki ya Anga Russian. Kama kuna mchezaji hakabiki sijui Messi, sijui Continho sijui Suarez basi hapo ndio mwisho Wao.
Na mimi ndo nashangaa. Labda tuombe watupe maelezo kidogo zinafanyaje kaziYaani hizo vitu ndio zinalinda anga lote la nchi ya URUSI..!?
Safi...Na mimi ndo nashangaa. Labda tuombe watupe maelezo kidogo zinafanyaje kazi
Kuna ile inaitwa satan-2 inasemekana bomu hili linaweza kuifuta texas kwenye uso wa dunia kwa dakika tu,jina lenyewe tu mhhhh,dunia haiko salama kabisaBinadamu tuna roho mbaya sana haya madude Katengenezewa binadam