Urusi sasa ni no fly na no fleet zone

ipo siku marekani atakuja ajichanganye aombe mechi ya kirafiki na hawa jamaa sijui siku hiyo kama ulimwengu utaendelea kuexist. jamaa anatamba syria NATO na kaka yao wanalialia kwenye corridors za Brussels. haha
 
W
Wewe Ndo umeprove kuwa muongo ndo maana umekuja na clarifications za belligerent vessels as opposed to all vessels, Black Sea inaishia wapi etc. Otherwise the original statement as it is inakuwa uongo!!! In fact, maelezo yako yote yanani support mimi!!!!
 
Unachekesha! Ntajuaje unatumia theory ipi wakati kuna theories kibao! Ni jukumu lako kusema utajiri wa urusi nimeu-determine Kwa kutumia theory fulani. Mie nimekupa links, toa Na wewe zako au shusha shule in details! Ngoja nione kwanza Kama hiyo theory uliyoitoa Ni relevant Kwa scenario yako.
 

Ata me nmeshangaa asee,najiuliza kwan ni nchi gani dunia hii ni "Yes fly zone and Yes fleet zone!?"...Unajua mijitu inachangia tuu kwa fujo bila kufikiria uhalisia na maana ya hii Mada
 
Unachekesha! Ntajuaje unatumia theory ipi wakati kuna theories kibao! Ni jukumu lako kusema utajiri wa urusi nimeu-determine Kwa kutumia theory fulani. Mie nimekupa links, toa Na wewe zako au shusha shule in details!

Kwanini nishushe shule wakati wewe unazijua theories kibao?
Again coherence huna, Umesema utajiri na umasikini ni relative.
Hebu ungeanza wewe kunielezea, theories zilizotumika ku-determine utajiri kwenye hizo link.
 
Ata me nmeshangaa asee,najiuliza kwan ni nchi gani dunia hii ni "Yes fly zone and Yes fleet zone!?"...Unajua mijitu inachangia tuu kwa fujo bila kufikiria uhalisia na maana ya hii Mada

Kwani nani kasema kuna nchi "Yes Fleet zone and Yes Fly Zone!?"
Acha kubwabwaja wewe!! Au ndiyo keyboard Diarrhoea?
 
Ni wakati wa urusi kutafuta mechi ya kirafiki sasa
nackia turkey nako wana no fly zone
 

Wewe kweli ni Juha my friend.
Yanakusapoti kivipi wakati hata uklikuwa huzijui hizo Conventions?
Ungezijua lazima ungeweka link au majina ili Claim zako zisiwe Monotonous!

Au unataka kutuaminisha kwamba NO FLY ZONE AND NO FLEET ZONE zina apply kwenye Civilian Vessels?
Hapo haya maelezeo yanakusapoti kivipi?
Coherence Man!!!!
 
Kwanini nishushe shule wakati wewe unazijua theories kibao?
Again coherence huna, Umesema utajiri na umasikini ni relative.
Hebu ungeanza wewe kunielezea, theories zilizotumika ku-determine utajiri kwenye hizo link.
Tusipoteze lengo. Hapo juu huna argument yeyote worth addressing. Kama Mimi au Wewe mmojawapo hana coherence, let the readers decide.
 
Au unataka kutuaminisha kwamba NO FLY ZONE AND NO FLEET ZONE zina apply kwenye Civilian Vessels?
Hapo haya maelezeo yanakusapoti kivipi?
Coherence Man!!!!
Kwenye hiyo sentensi wapi wamesema hazi apply kwenye civilian vessels ?
 
Tusipoteze lengo. Hapo juu huna argument yeyote worth addressing. Kama Mimi au Wewe mmojawapo hana coherence, let the readers decide.

Kwanini wasomaji watuamulie mambo yetu wawili?
Au upo hapa kufurahisha UMMAH?
Kazi hiyo ya kuwa kikaragosi cha kufurahisha watu siwezi.
 
Kwenye hiyo sentensi wapi wamesema hazi apply kwenye civilian vessels ?

Kiingereza nacho ni kigumu au ndiyo unataka kufurahisha UMMAH?
Huwezi kusoma au ndiyo Umekurupuka tu?
You embarrass yourself even more.
 
Kwanini wasomaji watuamulie mambo yetu wawili?
Au upo hapa kufurahisha UMMAH?
Kazi hiyo ya kuwa kikaragosi cha kufurahisha watu siwezi.
ingekuwa mambo ya watu wawili si tungeandikiana barua? Haya wewe unajua kiingereza!!!
 
Kwani nani kasema kuna nchi "Yes Fleet zone and Yes Fly Zone!?"
Acha kubwabwaja wewe!! Au ndiyo keyboard Diarrhoea?
Sasa kwa nini hii habari ya Urusi iwe big deal sana humu wakat tunajua kila nchi ina utaratibu huo?
Alafu acha kupanic,tulizaakili na ujibu hoja kwa kutulia....Yaani hata upanic vip kama U.S wana uwezo wana uwezo tuu na itabaki kuwa hivyo,na kama Russia hana itabaki kuwa hivyo,Maandishi yako ya kiswahili hapa JF hayawez badili chochote zaid ya kujifariji tu na propaganda za Putinic media..Yaan propaganda za cold war era ndio mrusi anakuja nazo leo...
watu walishasahau na wako na ustaarabu mwingine kabisaa,sasa yeye wacha apige kelele,hakuna atakayemsikiliza,wacha ajitaftie cheap attention kwa kama zile za kupaa juu ya vessel ya u.s,no body cares
 

KEYBOARD DIARRHOEA AT ITS BEST.
Halafu dado hujajibu swali,
Nani kasema kuna nchi ni "Yes fleet zone na Yes fly zone?"
 
Elewa concept,acha kukomalia upuuzi

If your brains were a dynamite there wouldn't be enough to blow your head off.
In short wewe ni Tabula Rasa and An intellectual Doormat.
You take propaganda Bull Horns without a self objective analysis and then claim to be right.
Give me a break.

Halafu sasa
Kwanini nikujibu kwa hoja wakati huwezi kutengeneza hata hoja rahisi?
Sasa utalewaje hoja zangu kama zako tu zinakushinda?

Umeulizwa swali rahisi umeshindwa kujibu.
Halafu unajifanya umeelewa mada.
Give me a break.
 
KEYBOARD DIARRHOEA AT ITS BEST.
Halafu dado hujajibu swali,
Nani kasema kuna nchi ni "Yes fleet zone na Yes fly zone?"

Mkuu Malcom husipoteze your precious time ku reason na watu ambao wako hell bent kuleta ubishi wa kishabeki tu ambao una defy all laws of physics - baadhi ya waleta mada weledi wanazungumzia mambo ya kiufundi zaidi/sayansi/teknolojia ya uhundaji silaha za kujilida na ni wapi Mataifa haya yanazidiana kete basi, sio mambo ya ushabeki.

Badala ya kuelimishana kistaarabu na kukubaliana kutokubaliana without offending anyone, baadhi ya members wanakasirika kweli kweli na kuanza kutoa kashfa chungu nzima, yaani unaweza kufikiri vita baridi vimerudi tena na wao wanajiona ni kama ma 5star Generals - lakini ukijaribu kuwasoma between the lines wanaonekana uelewa wao wa nyanja hizi ni dismal kabisa ndio maana wanakasirika kasirika ovyo na kujaribu ku derail mada kwa kutumbukiza masuala ambayo hayana kichwa wala miguu!!

Wakumbuke hawezi kuelewa masuala haya vizuri kwa kutumia search engines za mitandaoni tu - unapashwa vile vile uwe na elimu ya ufundi/engineerig background kuelewa kinacho endelea under the hood!!!

Wakumbuke vile vile hakuna Physics/Chemistry ya Urusi, Marekani au Uchina zote zinafuata the same basic principles cha muhimu hapa ni wanasayansi/watafiti wako wanatumiaje kanuni hizo kuhunda silaha zinazo zidiana kete, ni hicho tu hakuna kinacho toka mbinguni au kufikiri Taifa moja tu Duniani ndilo lenye watafiti na wanasayansi mahili wakati hiyo si kweli hata kidogo - someni scientific journals au attend makongamano ya kisayansi ambayo hayana chembe za siasa ndio utajua ninacho sema hapa, wanasayansi karibu wote duniani wana umoja sana - mambo ya geopolitics ni secondary kwao.
 

Haahaaa leo you have made this post alive again.
Umezungumza ukweli mtupu.
Ngoja ninyamaze tu bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…