Mijitu meusi ingekuwa kweli haina akili basi watu weupe kule Marekani wasingekubali kuongozwa na mtu meusi(Obama).Ni vizuri zaidi na ingekuwa jambo la mbolea kama Russia ingeitawala Congo kikoloni maana mijitu meusi hii haina akili kabisa!
Sawa jitu jeupe lenye akiliNi vizuri zaidi na ingekuwa jambo la mbolea kama Russia ingeitawala Congo kikoloni maana mijitu meusi hii haina akili kabisa!
Kutokuwa na akili sio tusi, ni FACT!Sawa jitu jeupe lenye akili
Katika mijitu meusi isiyo na akili mama yako, baba yako, bibi zako, babu zako dada zako,kaka zako na ndugu wengineo pia wamo humo kwa maana na wao ni sehemu ya mijitu meusi isiyo na akili,bila kusahau na zaidi ya 80% ya members humu nintutakuwa mijitu meusi tusio na akili kwa maana zaidi ya 80% humu ni kuna uezekano wakawa WaAfrica
Wafrika hatupendi kukosolewa. Utasikia ooh, atumie maneno ya staha, sijui mini. Acheni ukweli usemwe tu, hata tukijidai kutokusema Kongo haiwezi kuwa Singapore. PKutokuwa na akili sio tusi, ni FACT!
Ukiwa kilema na ukaitwa kilema hauwezi kusema umetukanwa, maana umepewa ukweli wako. Umeelezwa makavu yako! Sasa kumbe ulitaka uitwe nani?
Congo is one of the richest countries in Africa! It has abundance of natural resources, ample fertile lands, water and everything; YET, IRONICALLY, IT IS THE POOREST COUNTRY IN THE WORLD!
Watu wanakufa kwa njaa, civil wars, taharuki, unemployement, zero education, zero infrastructure, zero housing, afya duni, magonjwa, ebola, unyafuzi, umasikini, udikteta! A TOTAL SHITHOLE!
Obama ana advantage ya kuwa chotara! Ndio maana ilifika hatua akiharibu, wazungu walikuwa wanamshutumu kuwa 'kipande' chake cha Uafrika ndio kinaleta nuksi.... Lakini akifanya vizuri wanasema 'kipande' chake cha uzungu kimeleta baraka!Mijitu meusi ingekuwa kweli haina akili basi watu weupe kule Marekani wasingekubali kuongozwa na mtu meusi(Obama).
Siwazingumzii hao wabaguzi maana ubaguzi hata mweusi anaweza kumbagua mweusi mwenzie kuwa mweusi sana,Obama ni mtu mweusi tu navpamja na hivyo bado aliweza rais wa watu weupe.Obama ana advantage ya kuwa chotara! Ndio maana ilifika hatua akiharibu, wazungu walikuwa wanamshutumu kuwa 'kipande' chake cha Uafrika ndio kinaleta nuksi.... Lakini akifanya vizuri wanasema 'kipande' chake cha uzungu kimeleta baraka!
Racism is real!! sasa nenda na hiyo ngozi yako nyeusi uone kama hujatupiwa maganda ya ndizi!
Nchi yetu pendwa ipi mkuu!!?Naona huu ujio wa Russia sio mzuri kabisa kwa nchi yetu pendwa
East Africa yote tu maana soon tunarudi kwenye vita baridi pia kumbuka kwenye ukanda huu Tz haipindui kwa warusiNchi yetu pendwa ipi mkuu!!?
Tz au drc ??
What are you talking about?Siwazingumzii hao wabaguzi maana ubaguzi hata mweusi anaweza kumbagua mweusi mwenzie kuwa mweusi sana,Obama ni mtu mweusi tu navpamja na hivyo bado aliweza rais wa watu weupe.
Tulifanya nini hadi tukapewa laana?Mimi ni mweusi na nakubali kuwa tuna laana ujinga ukitaka kujua angalia Maprof na Ma PhD holder wetu wanachofanya kwenye utawala huu eg utakuta uchumi wa nchi unakufa na hali halisi inareflect lakini utakuta jitu somi linakwambia uchumi unakuwa kwa kasi! Sasa kama sio laana ni nini?
Nachosema ni kwamba mijitu meusi ambayo haina akili moja aliwahi kuwaongoza watu weupe(wenye akili) kwenye taifa kubwa.What are you talking about?
Hiyo ina-justify nini sasa!!??Nachosema ni kwamba mijitu meusi ambayo haina akili moja aliwahi kuwaongoza watu weupe(wenye akili) kwenye taifa kubwa.