Urusi kutoa jibu kali kwa Israel

Aa WAP waishangaze dunia WAP na Lin wao kila siku maneno wakati mwenzao nyetanyau anafanya kweli
Lengo so kumtoa Assad haya kamtoeni.huko tu kudungua ndege ya urussi ni kuonesha uwezo na shabaha.
 
 
Zile siraha s 400 huwezi tumia sehem kama syria maana ukiziwasha tu basi israel hawezi operate ndege zake maana rada zinaweza kushika hadi ndani ya nchi hiyo kwahiyo ndo mana tunaona israel anarusha tu vindege vyake nje na ndani ya israel.
Acha ushabiki. Toka 1948 Israel ingeshaondolewa katia ramani ya Dunia. Wale jamaa uwezo wao sio was kitoto hats mataifa makubwa yanaujua ndio maana bado wanapeta
 
Wairain waa Tanzania hanajua haya basis, wao in kukurupuka tu
 
Mrusi hawezi kujibu ila atalipwa fidia na maisha yasonge kwani wayahudi wamejaa urusi na ni dugu moja

Namkubali Putin ila kwa hapo azike tu
 
Vitukuu vya Daudi vimeliganda dege la kirusi kwa nyuma waka ambaa nalo wakapiga then wakasepa huku mdege wenyewe ukitunguliwa. Dah! ha ha ha; inaleta raha sana kwa kweli.
Raha iko api apo??
Au umefurahi kuuliwa ao wanaanga 15 wa urusi
 
Nyinyi huwa mnaneno mengi sana lakin so chochote mko waoga kama kuku mko zaid ya billion lakin mnawaogopa wayahud million saba
Wayahudi billion..7ambao wanalindwa na kusapotiwa katika kila nyanja uchumi kisiasa na US+EUROPE+NATO.
 
Tangu lini F_16 ZIKAWA na stealth technology??
Mapenzi yakizidi mpenda anakuwa kipofu
 
Kelele nyiingi za nini?Kwanini urusi asijibu mapigo kibabe tu.

Siku hizi putin amekua mchumba tu ingekua enzi za kina Stallin pangewaka moto muda huu
Unfortunately, Joseph Stallin is no more and if unless he is there is when the Russians can respond then it means the Israelis will continue to have field day in Syria.

After all, you ought to know that Joseph Stallin wasn't a Russian, he was a Georgian, so even if he were alive his presence wouldn't have caused much worry to the tenacious Israelis for he would be in his native Georgia. I say sorry to your wishful thinking.
 
Russia na Syria walizidiwa war zone tactics,
Una uhakika kabisa kabisa kuwa mpaka ndege inalipuliwa Russia akishirikiana na Syria walikuwa vitani dhidi ya Israel?? Ama umejisahau katika utumiaji sahihi wa maneno ya kivita?
 
Acha kudanganya.
Juzi ujumbe wa Israel ulikuwa Moscow. Na Putin alishasema kuwa Israel hawahusiki na kudunguliwa kwa ndege yao.
Ilifunguliwa na Syria kwa bahati mbaya
 
Hakuna cha jibu Kali .Hao wanajuana sana.Note my words.Hapo waliofanywa zuba ni hao waarabu wako wa Syria na Waajemi.Mashambulizi yote ya Israel nchini Syria ,Urusi imeyabariki!
Uko sahihi mkuu,nyuma ya pazia Mrusi anaendlea kupata tenda ya silaha kwa Syria. Na upande wa pili Marekani na Israel yeye anawauzia waasi silaha so biashara inaendelea. Hawa watu siyo wagomvi. HAKUNA KAMWE bepari anayeweza kuingia ktk vita ambavyo havina manufaa ya kiuchumi kwake. Ni wasioelewa ndio wanadhani Urusi inaisaidia Syria.
 
Wazungu+wayahudi Lao moja.. Hapo mazoba ni hayo maarabu. Wenzao hiyo michezo ya kudungua ndege ni issue planned.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…