URUSI kushinda vita

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,787
Nasema Russia wakishinda hii vita basi ujue ndio mwisho wa NATO , na USA , na atanogewa kuchukua maeneo mengine ya nchi jirani kama Poland ,Sweden , Finland na atazidi kujipanua zaidi, ndio maana USA na NATO wameamua kufa na kupona kwenye hii vita
 
Kama alivyochukua Creamia akanogewa kama anakula bone marrow, kwa kipindi hichi cha kuivamia kyev , hakujua kama washirika walikuwa wanamlia chabo na ule msafara wake ,
 
Acha kukaririr kilaza. Nani kakuambia atanogewa na kwenda kuchukua maeneo mengine?

Apo Poland ndio apate funzo kuwa usimkaribishe adui wa jirani yako na kumpa access zote za kutaka kumuhujumu jirani yako
 
Wewe naye ni kilaza tu, unasema kwa mfano Rwanda au Kenya wasijiunge na kambi wanazoona zina faida kwao kisa hizo kambi ni adui wa Tanzania?

Yaani ujuhi hata unachokisema, ukosefu wa elimu ni hatari sana kwa Taifa aise!
 
hii Vita itaisha kwa maridhiano , hapatakuwa na mshindi. marekani na NATO yake hatakuwa tayari kupoteza kuona Russia anashinda , pia Russia hayuko tayari kupoteza, yaani hapa kila mmoja anaouwezo wa kumfanya mwingine asishinde na ndio hapo hapatakuwa na mshindi kitakachofanyika ni maridhiano , na soon wataweka maridhiano tu.
 
Yaani nchi 1 Kwa nchi 30 kunasuruhu hapo hapo ni urusi kashinda sio maridhiano
 
Upo sahihi.
 
Nasema Russia wakishinda hii vita basi ujue ndio mwisho wa NATO , na USA , na atanogewa kuchukua maeneo mengine ya nchi jirani kama Poland ,Sweden , Finland na atazidi kujipanua zaidi, ndio maana USA na NATO wameamua kufa na kupona kwenye hii vita
Ndoto ya kushinda imeyeyuka....
Mwaka wa pili wanaumia tu..
 
Masharti ya maridhiano ya Urusi ni ya kibabe
 
Nonsense wakati nchi 100 za ulaya na Marekani zimeshindwa wewe wa nchi ovyo utaweza nini
Hawajashindwa sema zele alikuwa anasita sita kujiunga NATO, kma kweli huyo Putin wako ni kidume avamie taifa lolote lililojiunga nato..

Ndipo uje kubwabwaja hapa...😄😄
 
ProRussians,Warusi Wa mchongo bhana.Yaani kutoka Kwenye special ops kuichukua Kyiv kwa siku 3 na kumchomoa Zennesky toka ikulu mpaka kuanza kuwaza kushinda AU kushindwa vita?Ninyi mlimuamini sana Putin lakini Sasa maji yamfika shingoni.Vita ya siku 3 mpaka sasa imekutwa miezi 20 na haoni dalili za kushinda.Kilichobaki ni urusi kuondoka Ukraine basi🤔
 
Hawajashindwa sema zele alikuwa anasita sita kujiunga NATO, kma kweli huyo Putin wako ni kidume avamie taifa lolote lililojiunga nato..

Ndipo uje kubwabwaja hapa...[emoji1][emoji1]
Kila siku mabomu ya Russia yanapita Armenia na NATO wako kimya nchi za NATO zote hata zinjiunge zote haziwezi urusi.
 
Wapi urusi kasema ni operation ya siku tatu?urusi alijua anapigana na nani kwahiyo hawezi kusema hivyo ebu tumieni akili hata kidogo au nyie huwa hamna akili.
 
Wewe naye ni kilaza tu, unasema kwa mfano Rwanda au Kenya wasijiunge na kambi wanazoona zina faida kwao kisa hizo kambi ni adui wa Tanzania?

Yaani ujuhi hata unachokisema, ukosefu wa elimu ni hatari sana kwa Taifa aise!
Wewe ndio rais wa vilaza. Nani kasema wasijiunge? Wajiunge tu lakini sio kwa lengo la kutaka kuhiujumu Tz la sivyo tutawabonda wote kama mwamba Putin anavyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…