Urusi inaingia rasmi Afrika kupitia Mali

Urusi inaingia rasmi Afrika kupitia Mali

Hapa ni kupambana ili usipate ngwengwe kabla ya 2026,
maana sasa hivi kila mwamba wa dunia anataka kupendwa huku kwetu na ushawishi wa maana utakaowasafisha ni kumaliza UKIMWI

japo yule kiherehere USA kasema kufikia 2030, naona Mchina na Mrusi wanaenda kumuwahi na kuteka majority hasa African Countries, kwenye uhakika wa raw materials na natural resources
 
Ukimwi,malaria nk,ni magonjwa yq kisiasa na kiuchumi kwa nchi za magharibi,dawa na chanjo zake zipo,sema jamaa washenzi sana. Mchina na mrusi kwa hili nawaunga mkono.
Mchina na Mrusi walikuwa wapi mpaka wameona mambo magumu ndio wanaleta unafiki wao kwa waafrika!!!
 
Uhalisia marekani ni muhuni anatengeneza magonjwa ili yeye afaidike. Russia na China sasa nao wamechoka kupelekeshwa na marekani wameamua kula nae sahani moja.
Kukaa Kimya wakati uhalifu unatendeka huna tofauti na mhalifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom