Urusi inaingia rasmi Afrika kupitia Mali

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,873
Reaction score
6,136
Rais wa urusi Vladimir Putin amefanya mazungumzo na rais wa mali goita na kumuhakikishia ulinzi na usalama wa kikanda.

Upande wa saher pia rais putin wamekubaliana kuwekwa kwa Military base kubwa ya jeshi la anga la urusi nchini mali ...pamoja na mifumo ya S-300 ya ulinzi wa anga ili kuhakikisha hakuna mashambulizi yoyote ya anga yatakayo fanywa endapo ECOWAS itaamua kuvamia nchi moja wapo Kati ya nchi zilizo Fanya mapinduzi.

Hata hivyo wachambuzi wa mambo wanaona hii ni njia moja wapo ya kudhibiti ushawishi wa ufaransa katika ukanda huo wa sahel pia rais putin amesema urusi na china zitakuja na mpango kabambe wa kutoa chanjo ya maralia kwa Afrika nzima kwani amesema taifa la marekani linaingiza Dora billion 700 kwa mwaka kwa kuuza madawa ya ARV pamoja na madawa ya maralia hivyo urusi na china zitafanya juhudi Adi kufika 12/12 /2026 Afrika kuwe hakuna maralia na china itahakikisha dawa ya UKIMWI inapatikana kwa haraka licha ya Marekani kutangaza vikwazo endapo china itaendelea na mpango wake wa (NDW) kwani marekani imedai mpango huo wa china haukubaliki kutokana unakiuka haki za binadamu.

1694850089573.jpg
1694850084468.jpg
1694850078928.jpg
 
View attachment 2750837View attachment 2750838View attachment 2750839
Dora,saher,apa...jifunze kuandika lugha yako kwa ufasaha mkuu,wewe ni kile kizazi kilikua shule za msingi miaka ya 2000!?..mna shida sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom