Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
- Thread starter
-
- #121
Uchambuzi muruwaaa!!
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hao wanajeshi 500 waliopo Poland kwenye training ni wamarekani na washirika wake Tu hawa western countries ni wajanja Sana inawezekana Hilli jeshi la Ukraine asilimia 70 ni NATO
Oyaaa tuambie kwanza, kichapo kiendelee au tustop kwanza maaana si kwa povu hili[emoji23][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... the only force ambayo Russia hajatumia so far ni nuklia! Hadi fahari ya Putin na Russia (Moskova) ilikuwa battle field sio mchezo. By the way, tangu ilipolambishwa bahari mashambulizi ya makombora Ukraine yalipungua sana means yalikuwa yanatokea Moskova.
Pole sana....Russia bila nyuklia ni sawa na Congo tu..URUSI UMENIVUNJA MOYO WANGU. Sehemu 03
1. Pengine hiki ninacho kisia ni propaganda. ilio pitiliza ambapo ni mbinu za magharibi kuuhadaa ulimwengu. na hivyo kuonesha baadhi ya matukio yanayoonesha kua Ukraine anaonesha mafanikio. hali ya kuwa anachapika vizuri tu. properganda hizi zinasambazwa zaid na BBC na DW. kama tunavyo dai pro Putin au wana rubongo
2. Au pengine jeshi la russia linapigana kistaarabu sana hivyo kuepuka kutumia full force ambayo huenda utawadhuru raia ambao urusi inaiita kuwakomboa.
3. Pengine Russia hajatumia silaha zilizopo kwenye hifadhi kuhofia kuua nzi kwa Nyundo.
hizo points tatu ni muhimu kuzingatia hapo juu ili kurudisha imani yangu. kwa poor rusians.
LAKINI, TATIZO LINAKUJA KUA
Inakuaje hizi habari ni properganda sasa. yaani sielewi propaganda kwa misingi ipi?
Mnataka kuniambia Dunia haina vyombo au vyanzo vingine vya habari isipokua BBC?
Samahani sana. Siwezi kuamini viclips na vi photos vya mtandaoni ambao havijulikani source zake eti nivitumie kuthibitisha propaganda.
Yaani nikuamini wewe mrusi ulipo makutupora unaposema propaganda wakati haya mashirika yapo front line kabisa. kwenye battlefield na kwanini wanaposema mafanikio ya russia hamsemi propeganda au ndo vile kunyata anyate kinyonga akinyata kicheche anaiba kuku?
Akili mgando hizi BBC wanapo pata habari mwisho inataja vyanzo vilivyo thibitisha icidents na kama hamna inasema hii habari haijatoka kwenye vyanzo huru. Na hua inajitahid kutafuta habar ya upande wa pili wa shilingi inapo kosa inasema imekosa.
Hivi kuna asie jua kua russia ndio baba wa propaganda duniani.? yupo radhi hata kuvamia majeshi yake kwa silaha za kemikal ili tu kupata legitimize kutimiza agenda zake.
Au angekanusha hadharani. kwani anachokutana huko ground ni aibu tupu. Ukraine imesema tumeua 26000+ mrusi mbna hakunushi. anajua akikanusha ataanbiwa leta idadi zako. Russia anajua idadi halisi ni zaid ya 30K+. hivyo anashkuru kuona idadi ikio tolewa ni ya chini.
Kusema Russia haitumii full force ni Chizi tu ndio atakae kuamini. Miezi mitatu wakimbizi zaid ya 6 milion. ni uthibitisho wanatumia full force. ICBM na meli kubwa za kivita uthibitisho tosha. Magenerals kuuwawa ni uthibitisho tena kusema hajatumia silaha zilizopo kwenye hifadhi ni uongo.
Kwanini?
Misafara ya vifaru mirefu na meli kubwa ya moscova na hypersonics na ICBMs inaonesha kabisa kilicho baki ni kutumia nyuklia tu
Sasa rusia anaonekana ni kituko cha kimataifa hadi washirika wake wana muona mwehu mwehu. mikakati hapa sasa ni kumyanga mwenda wazimu panga.
NB. Leteni source zenu hata za tbc we leta usilete viclips vilivo editiwa apa Russia kanivunja moyo mbwa hyu.
Duh...nawewe, Urusi ndie mwenye vita halafu tutafute habari kwake!!!!....Al jazeera,Bbc,Cnn,wote ni pro west sasa ukitaka kujua tafuta vyombo vya urusi china utaona kilichopo kule ni tofauti na tunayoelezwa cha msingi tafuta dish na decoder za FTA utegeshe dish settelite ya urusi dishi liangalie pemba au somalia kama upo bongo upate tv station za huko wa ukraine wanapigwa mbaya sema wanapata misaada jana wamezidiwa wakavunja daraja kubwa linalounganisha kuingia kharkiv
Nakukatalia kwamza ujue Russia haikudhania vita ingekuwa na mamluki wa ulaya kiasi hiki maana alikuwa akitumia mavifaru ya miaka hiyo na yo ilikuwa njia ya kusafisha silaha chakavu hivyo silah Nzo za kutosha kupigana miaka 5 ijayo!... the only force ambayo Russia hajatumia so far ni nuklia! Hadi fahari ya Putin na Russia (Moskova) ilikuwa battle field sio mchezo. By the way, tangu ilipolambishwa bahari mashambulizi ya makombora Ukraine yalipungua sana means yalikuwa yanatokea Moskova.
... sawa Mkuu; let's wait and see.Nakukatalia kwamza ujue Russia haikudhania vita ingekuwa na mamluki wa ulaya kiasi hiki maana alikuwa akitumia mavifaru ya miaka hiyo na yo ilikuwa njia ya kusafisha silaha chakavu hivyo silah Nzo za kutosha kupigana miaka 5 ijayo!
๐ ๐ ๐ ๐ Hii nayo ni akili ya BinadamuNakukatalia kwamza ujue Russia haikudhania vita ingekuwa na mamluki wa ulaya kiasi hiki maana alikuwa akitumia mavifaru ya miaka hiyo na yo ilikuwa njia ya kusafisha silaha chakavu hivyo silah Nzo za kutosha kupigana miaka 5 ijayo!
Mada Imejaa Ushabiki tu hamna lolote
Mrusi mmoja anapigana na Nchi zaidi ya 30 nabado wanahaha hali tete
Ile meli ilikuwa inazingua, wanaume wakatazama haya mabati yanarushwa kutokea wapi? Wakaiona ile meli, wakaivutia pumzi, wakaivuka nayo ikajaa, wakamaliza kazi yao.... the only force ambayo Russia hajatumia so far ni nuklia! Hadi fahari ya Putin na Russia (Moskova) ilikuwa battle field sio mchezo. By the way, tangu ilipolambishwa bahari mashambulizi ya makombora Ukraine yalipungua sana means yalikuwa yanatokea Moskova.