Urusi imeuvunja moyo wangu

Maneno yako tu yanaonekana ni ya kinafki kabisa
 
Hii ni marathon si sprint
 
Pia tukumbuke kuwa kwenda kumuondoa raisi aliyepo madarakani na tena aliyechaguliwa na wananchi ni kazi kubwa Sana...duniani kote tumeshuhudia Jambo hili linakuwa ngumu hata kama utafanikiwa kumwondoa huyo raisi bado utulivu hautatokea kamwe.

Hata kama leohii Russia atafanikiwa kumuondoa zelensky bado Hali ya usalama ndani Ukraine haitakuwepo na tutegemee vikundi Vingi vya wanamgambo vitaongezeka,Kwa kifupi kuendesha vita huku umepigwa vikwazo vya uchumi ni ngumu Sana kushinda
 
Kwanza naomba niseme wazi kuwa mleta mada ni Mnafiki tena mwenye unafiki wa kiwango cha SGR, kajifanya mrusi kumbe ni mna NATO proMax.

Pili Uzi umejaa taarifa za propaganda kutoka blogs za Kyiv nation independence, BBC na CNN.

Tatu mleta mada inaonekana bado huijui urusi kiuchumi, kisiasa na kijeshi ndo maana unalialia.

Hebu ngoja tu assume hizo taarifa zako ni sahihi na Urusi kapata hiyo hasara.
Halafu turudi kwenye hesabu za mrusi upande wa Nishat tu aliyowauzia EU toka mwezi 2-3 ni zaidi ya $47B/month ukizileta kwa pesa za kibongo ni zaidi ya 100T.

Haya sasa chukua hiyo 100T toa hivo vi trillions vyako ulivyo mezeshwa, halafu uone mrusi anabaki na trillions ngapi kwenye wallets. Na hapo ni mauzo ya mwezi mmoja tu kwa nchi za EU hapo sijaweka sehemu nyingine kama USA, South America na ASIA.

Niliwahi kusema hapa kuwa, kwa jinsi EU na USA wanavyomtegemea Russia kuendesha maisha yao, basi Russia anaweza endesha hii operation hata kwa miaka 10 mfululizo bila kukata upepo kwa pesa hizo hizo za wanao chochea vita. Na kadiri hii operation inavyo endelea ndo Russia anazidi kuteka miji mhimu na zenye rasilimali nchi Ukraine ambazo ndo target za hao mabwana wa western na USA.

Russia siyo Madagascar.
 
Russia anajitutumua tu ila ashafeli kwa sehemu kubwa.
 
T 90 imeingia donbass tu. Huko kote kyv na no kulikua t72
 
Russia anapigana na NATO
 

upo nje ya mada mkuu. nimetoa anlysisi ya hasara zisizo za lazima alizo pata sasa mafanikio ya kuteka maeneo ndio yatamsaidia nn sasa hyo mrusi. pamoja na mafanikio hayo bado leo anateka mji huu kesho anapoteza
 

usiniforce nichambue gharama zingine za uendeshaji wa vita nilizo ziacha pamoja na athar za vikwazo na mali za urusi alizo poteza kupitia sunctions. usinifanye nifafanue Swift na mambo mengi kwa undani zaid.
tukutane kwenye uzi ujao
 

usiniforce nichambue gharama zingine za uendeshaji wa vita nilizo ziacha pamoja na athar za vikwazo na mali za urusi alizo poteza kupitia sunctions. usinifanye nifafanue Swift na mambo mengi kwa undani zaid.
tukutane kwenye uzi ujao.

jua kua NATO na western hawana shida na Ukraine kwanza ukraine kwa rasilimali gani alizo nazo pili sio sehem ya ulaya
kamati ya fitna imesha kaaa. the RUSSIANS days are Numbered.
bro ilianguka soviet ikasambaratika sembuse Putin !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…