Urusi imeuvunja moyo wangu

Urusi imeuvunja moyo wangu

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
Russia umeuvunja Moyo wangu sehemu 01

Utawala wa Western ambao unategemea uchumi wa kiunyonyaji chini ya kivuli cha demokrasia na ustaarabu wa kimangharibi.

Kumezifanya nchi nyingi kuwa tegemezi na sera za Magharibi na kuziacha nchi nyingi ambazo zinafuata mifumo yao wenyewe kuachwa solemba na kuwa na changamoto kubwa za kiuchumi.
Anguko la usoviet na nchi kama North Korea ni mifano.

Nilitegemea Urusi atakuwa ndio mkombozi wa kuitoa dunia katika wimbi hili la unyonyaji wa Magharibu kutokana na kwamba

1. Urusi imejijenga kiuchumi japo sio tishio huko duniani lakini uchumi wake ameuwekeza zaidi katika maswala ya kijeshi.

2. Kijeshi pia ipo vizuri huku akimkimbiza vizuri tu Mmarekani kwa ubunifu wa technologia za kibabe (kwa mujibu wa nilivyoamini mimi)

3. maswala ya intelijensia pia kwani majasusi wa russia ndio walio sambaza formula za kutengeneza Atomic bombs zikafika russia na nchi zingine pamoja na mafanikio lukuki

4. mengineyo Ongeza mwenyewe hapa na wewe kwa mujibu wa ulivyo aminishwa.

SASA URUSSI UMEUVUNJA SANA MOYO WANGU.

nitajikita tu katika uvamizi wa taifa la UKRAINE.

Urusi baada ya kuitwaa Krimea 2014 nilitegemea wangefanya ujasusi wa kutosha na kupiga gharama yakinifu kuliko kuingia kichwa kichwa na kupata athari zisizo tarajiwa ambazo ni mbaya

haikufanya intelijensia au ilifanya kwa uchache
matokeo yake sasa.

1. Mageneral wake wengi wakafia vitani

2. Vifaru vya kijeshi TANKS : zaidi ya 1500 kuangamizwa kabisa (irriperable)
ngaja nikupe hii thamani ya kifaru kimoja cha urusi aina ya T-90AM kinagharimu dola milion 4.27 sawa na bilion 9 tsh zaid ya vifaru 1500 kuangamizwa hio ni zaid ya dola 6000M zaid ya trilion 12 TSH.

3. Ndege za kivita Aircrafts 200
hapa tunaongelea ndege aina ya Sukhoi Su-35 flanker E ndege moja ya aina hii inagharimu dola milion 85 sawa na zaidi ya Tsh. 197+Bilion jumla ya hasara ya ndege hizi ni zaidi ya dola bilion 17 (TSH 40+ trilion)

3. Hasara ya Armoed vehicle 2500+ ,
troops 20000+ na helcopta Tusizipigie hesabu maana huko ni kuchoshana

4. Hasara ya wanajesh zaid ya 23000+ pia tusipigie hesabu zao maana hata urusi hua haithamin sana vifo vya wanajeshi nafkiri historia ya vita wanavyo pigana urusi mnaijua hasa kwenye swala la kupoteza askari wengi tangu WW2. na mara nyingi rusia wanashinda vita kwa wingi wa Askari. tuachane na tathmin za vifo hivi kwanza nikiweka wengi mtasema ni propaganda. ila kwa faida tu ujue theluthi mbili ya jeshi la ardhini la russia lipo Ukraine na vita vinavyo endelea hakuna shabaha za kijeshi zinazo lengwa kwa sasa so ni mwendawazimu tu anayejua kua PUTIN atashinda hii vita.

5. Gharama za uendeshaji wa vita mishahara ya wafanya kazi penshen za wanao kufa vitani kwa familia Nk nitazipiga kwenye uzi ujao baada ya kufanya utafiti wa kina

6. Vikwazo na mali zikizokua freezed na zilizo taifishwa ni matrilion ya madolari

7. Kupoteza ushawishi wa kikanda na soko la silaha na bidhaa zingine kwa washirika wake tu kama india ni ma matrilion ya madolari pia.

Russia umeyvunja sana moyo wangu wao magharibi hawana vya kupoteza katika vita hivi maana hata vikwazo walivyo muwekea mrusi wanahakikisha ni vikwazo visivyo waathiri wao kwanza na wakipata mbadala wa gesi mbona naiona urusi ikiwa kama zimbabwe

Kwanza hata Ardhi yaje imeanza kushambuliwa pia yan wauni wanijipigia hadi karibu na moscow halafu wanarudi. kesho tena

Ukraine imepoteza pia askari na miundombinu yenye thamani ya matrilion ya dola. lakini Mbwa kula mbuzi sio hadithi hadithi ni Mbuzi kula Mbwa.

Yani vikwazo vya urusi kwa magharibi vinatia Aibu vikwazo kama kumzuia Biden na Boris na maafisa wengine wa serikali kutembelea russia ndo nini sasa.

Nilijua kwa trend inavyo enda sasa Russia na China ndio watakua Super power ajae lakini sasa rusia kawa kama bata.

Sasa Russia hana option zaid ya kuhakikisha anashinda hii vita na Nucklea ndio las hope kwa sasanasema bora atumie Nuclea angalau ataurudisha moyo wangu ulio jaa mahabbat juu ya urusi lakin kwa sasa dah umeyvunja sana miyo wangu

Source: Normal Millitary critical analysis
 
Russia umeuvunja Moyo wangu.

Utawala wa Western ambao unategemea uchumi wa kiunyonyaji chini ya kivuli cha demokrasia na ustaarabu wa kimangharibi.

Kumezifanya nchi nyingi kuwa tegemezi na sera za Magharibi na kuziacha nchi nyingi ambazo zinafuata mifumo yao wenyewe kuachwa solemba na kuwa na changamoto kubwa za kiuchumi.
Anguko la usoviet na nchi kama North Korea ni mifano.

Nilitegemea Urusi atakuwa ndio mkombozi wa kuitoa dunia katika wimbi hili la unyonyaji wa Magharibu kutokana na kwamba

1. Urusi imejijenga kiuchumi japo sio tishio huko duniani lakini uchumi wake ameuwekeza zaidi katika maswala ya kijeshi.

2. Kijeshi pia ipo vizuri huku akimkimbiza vizuri tu Mmarekani kwa ubunifu wa technologia za kibabe (kwa mujibu wa nilivyoamini mimi)

3. maswala ya intelijensia pia kwani majasusi wa russia ndio walio sambaza formula za kutengeneza Atomic bombs zikafika russia na nchi zingine pamoja na mafanikio lukuki

4. mengineyo Ongeza mwenyewe hapa na wewe kwa mujibu wa ulivyo aminishwa.

SASA URUSSI UMEUVUNJA SANA MOYO WANGU.

nitajikita tu katika uvamizi wa taifa la UKRAINE.

Urusi baada ya kuitwaa Krimea 2014 nilitegemea wangefanya ujasusi wa kutosha na kupiga gharama yakinifu kuliko kuingia kichwa kichwa na kupata athari zisizo tarajiwa ambazo ni mbaya

haikufanya intelijensia au ilifanya kwa uchache
matokeo yake sasa.

1. mageneral wake wengi wakafia vitani

2. vifaru vya kijeshi TANKS : zaidi ya 1500 kuangamizwa kabisa (irriperable)
ngaja nikupe hii thamani ya kifaru kimoja cha urusi aina ya T-90AM kinagharimu dola milion 4.27 sawa na bilion 9 tsh zaid ya vifaru 1500 kuangamizwa hio ni zaid ya dola 6000M zaid ya trilion 12 TSH.

3 Ndege za kivita Aircrafts 200
hapa tunaongelea ndege aina ya Sukhoi Su-35 flanker E ndege moja ya aina hii inagharimu dola milion 85 sawa na zaidi ya Tsh. 197+Bilion jumla ya hasara ya ndege hizi ni zaidi ya dola bilion 17 ( TSH 40+ trilion)

3 hasara ya Armoed vehicle 2500+ ,
troops 20000+ na helcopta Tusizipigie hesabu maana huko ni kuchoshana

4 hasara ya wanajesh zaid ya 23000+ pia tusipigie hesabu zao maana hata urusi hua haithamin sana vifo vya wanajeshi nafkiri historia ya vita wanavyo pigana urusi mnaijua hasa kwenye swala la kupoteza askari wengi tangu WW2. na mara nyingi rusia wanashinda vita kwa wingi wa Askari. tuachane na tathmin za vifo hivi kwanza nikiweka wengi mtasema ni propaganda. ila kwa faida tu ujue theluthi mbili ya jeshi la ardhini la russia lipo Ukraine na vita vinavyo endelea hakuna shabaha za kijeshi zinazo lengwa kwa sasa so ni mwendawazimu tu anayejua kua PUTIN atashinda hii vita.

5 gharama za uendeshaji wa vita mishahara ya wafanya kazi penshen za wanao kufa vitani kwa familia Nk nitazipiga kwenye uzi ujao baada ya kufanya utafiti wa kina

6 vikwazo na mali zikizokua freezed na zilizo taifishwa ni matrilion ya madolari

7 kupoteza ushawishi wa kikanda na soko la silaha na bidhaa zingine kwa washirika wake tu kama india ni ma matrilion ya madolari pia.

Russia umeyvunja sana moyo wangu
wao magharibi hawana vya kupoteza katika vita hivi maana hata vikwazo walivyo muwekea mrusi wanahakikisha ni vikwazo visivyo waathiri wao kwanza na wakipata mbadala wa gesi mbona naiona urusi ikiwa kama zimbabwe

kwanza hata Ardhi yaje imeanza kushambuliwa pia yan wauni wanijipigia hadi karibu na moscow halafu wanarudi. kesho tena

Ukraine imepoteza pia askari na miundombinu yenye thamani ya matrilion ya dola. lakini Mbwa kula mbuzi sio hadithi hadithi ni Mbuzi kula Mbwa.

Yani vikwazo vya urusi kwa magharibi vinatia Aibu vikwazo kama kumzuia Biden na Boris na maafisa wengine wa serikali kutembelea russia ndo nini sasa.

Nilijua kwa trend inavyo enda sasa Russia na china ndio watakua Super power ajae lakin sasa rusia kawa kama bata.

sasa Russia hana option zaid ya kuhakikisha anashinda hii vita na Nucklea ndio las hope kwa sasa
nasema bora atumie Nuclea angalau ataurudisha moyo wangu ulio jaa mahabbat juu ya urusi lakin kwa sasa dah umeyvunja sana miyo wangu

source
Normal Millitary critical analysis
Umeandika pumba Sana Kwa sababu Mrusi akachukua Maeneo mengi ya Ukraine sasa hivi Ukraine Hana Bahari.umendika kinafki Kwa taarifa yako maeneo yaliyochukuliwa na warusi hayatarudi tena.urusi anapigana na NATO nzima na bado anaendelea kuchukua maeneo huko.
 
Yaani unataka kusema wewe wa kwamtogole unajua zaidi ya hao warusi?unataka kusema warusi hawajui wanalofanya?
Kwa kweli hawajui,mwanzo Putin alisema anataka kuindoa serikali ya kihuni Ukraine ,mara NATO mara anataka majimbo sijui mawili ya Ukraine yajitawale mara anataka bandari yaani hajui specific anapigania nini .Mpaka haieleweki kabisa
 
Russia umeuvunja Moyo wangu.

Utawala wa Western ambao unategemea uchumi wa kiunyonyaji chini ya kivuli cha demokrasia na ustaarabu wa kimangharibi.

Kumezifanya nchi nyingi kuwa tegemezi na sera za Magharibi na kuziacha nchi nyingi ambazo zinafuata mifumo yao wenyewe kuachwa solemba na kuwa na changamoto kubwa za kiuchumi.
Anguko la usoviet na nchi kama North Korea ni mifano.

Nilitegemea Urusi atakuwa ndio mkombozi wa kuitoa dunia katika wimbi hili la unyonyaji wa Magharibu kutokana na kwamba

1. Urusi imejijenga kiuchumi japo sio tishio huko duniani lakini uchumi wake ameuwekeza zaidi katika maswala ya kijeshi.

2. Kijeshi pia ipo vizuri huku akimkimbiza vizuri tu Mmarekani kwa ubunifu wa technologia za kibabe (kwa mujibu wa nilivyoamini mimi)

3. maswala ya intelijensia pia kwani majasusi wa russia ndio walio sambaza formula za kutengeneza Atomic bombs zikafika russia na nchi zingine pamoja na mafanikio lukuki

4. mengineyo Ongeza mwenyewe hapa na wewe kwa mujibu wa ulivyo aminishwa.

SASA URUSSI UMEUVUNJA SANA MOYO WANGU.

nitajikita tu katika uvamizi wa taifa la UKRAINE.

Urusi baada ya kuitwaa Krimea 2014 nilitegemea wangefanya ujasusi wa kutosha na kupiga gharama yakinifu kuliko kuingia kichwa kichwa na kupata athari zisizo tarajiwa ambazo ni mbaya

haikufanya intelijensia au ilifanya kwa uchache
matokeo yake sasa.

1. mageneral wake wengi wakafia vitani

2. vifaru vya kijeshi TANKS : zaidi ya 1500 kuangamizwa kabisa (irriperable)
ngaja nikupe hii thamani ya kifaru kimoja cha urusi aina ya T-90AM kinagharimu dola milion 4.27 sawa na bilion 9 tsh zaid ya vifaru 1500 kuangamizwa hio ni zaid ya dola 6000M zaid ya trilion 12 TSH.

3 Ndege za kivita Aircrafts 200
hapa tunaongelea ndege aina ya Sukhoi Su-35 flanker E ndege moja ya aina hii inagharimu dola milion 85 sawa na zaidi ya Tsh. 197+Bilion jumla ya hasara ya ndege hizi ni zaidi ya dola bilion 17 ( TSH 40+ trilion)

3 hasara ya Armoed vehicle 2500+ ,
troops 20000+ na helcopta Tusizipigie hesabu maana huko ni kuchoshana

4 hasara ya wanajesh zaid ya 23000+ pia tusipigie hesabu zao maana hata urusi hua haithamin sana vifo vya wanajeshi nafkiri historia ya vita wanavyo pigana urusi mnaijua hasa kwenye swala la kupoteza askari wengi tangu WW2. na mara nyingi rusia wanashinda vita kwa wingi wa Askari. tuachane na tathmin za vifo hivi kwanza nikiweka wengi mtasema ni propaganda. ila kwa faida tu ujue theluthi mbili ya jeshi la ardhini la russia lipo Ukraine na vita vinavyo endelea hakuna shabaha za kijeshi zinazo lengwa kwa sasa so ni mwendawazimu tu anayejua kua PUTIN atashinda hii vita.

5 gharama za uendeshaji wa vita mishahara ya wafanya kazi penshen za wanao kufa vitani kwa familia Nk nitazipiga kwenye uzi ujao baada ya kufanya utafiti wa kina

6 vikwazo na mali zikizokua freezed na zilizo taifishwa ni matrilion ya madolari

7 kupoteza ushawishi wa kikanda na soko la silaha na bidhaa zingine kwa washirika wake tu kama india ni ma matrilion ya madolari pia.

Russia umeyvunja sana moyo wangu
wao magharibi hawana vya kupoteza katika vita hivi maana hata vikwazo walivyo muwekea mrusi wanahakikisha ni vikwazo visivyo waathiri wao kwanza na wakipata mbadala wa gesi mbona naiona urusi ikiwa kama zimbabwe

kwanza hata Ardhi yaje imeanza kushambuliwa pia yan wauni wanijipigia hadi karibu na moscow halafu wanarudi. kesho tena

Ukraine imepoteza pia askari na miundombinu yenye thamani ya matrilion ya dola. lakini Mbwa kula mbuzi sio hadithi hadithi ni Mbuzi kula Mbwa.

Yani vikwazo vya urusi kwa magharibi vinatia Aibu vikwazo kama kumzuia Biden na Boris na maafisa wengine wa serikali kutembelea russia ndo nini sasa.

Nilijua kwa trend inavyo enda sasa Russia na china ndio watakua Super power ajae lakin sasa rusia kawa kama bata.

sasa Russia hana option zaid ya kuhakikisha anashinda hii vita na Nucklea ndio las hope kwa sasa
nasema bora atumie Nuclea angalau ataurudisha moyo wangu ulio jaa mahabbat juu ya urusi lakin kwa sasa dah umeyvunja sana miyo wangu

source
Normal Millitary critical analysis

Kuna mipango ya Mwanadamu na ya Mungu.
 
1. Naomba nikukosoea unaposema Russia hakutumia intellogence vizuri kabla ya kuingia vitani. Russia alikaa vizuri na akapiga hesabu zake, akajiridhisha ndo maana putin akaingiza jeshi ktk vita. Sema tu alichokosa kujua ni kwamba, toka aibebe Crimea, wahuni CIA, M16 n.k walishakaa chini na kumpigia hesabu kuwa ataivamia na Ukraine. Kama wakumbuka vizuri, UK na US tokea hapo walikuwa wanafanya military trainings nyingi Ukraine.

2. Kuhusu idadi ya askari kufa vitani, Putin kwenye hotuba yake aliiri kupoteza Askari 1,500 ni sawa na asilimia 1 ya Askar aliowapeleka Ukraine. Sasa jiulize, kwa idadi ya askari 150,000 sijui 200,000 waliozama ktk hii operationi mwanzoni, walipofika Kyiv haya majeshi yote yalirudi nyuma, askari 150,000 wakaondoka kwa kipigo. Sasa ni kweli asilimia 1 inaweza ikavunja morali watu wasisonge mbele? Ofkoz hapa putin alitudanganya, huenda vifo vililkuwa ni vingi mno.

3. Gas na Mafuta, nakubaliana na wewe kuwa, vikwazo vyote hivi tusifikiri mabeberu waliwawekea Russia wao wakiwa hawana mbadala, walishajipanga na wakapangika haswa. Jiulize pale France, Marcon alizungumzwa mno kwa maisha kupanda baada ya nchi yake kujihusisha na vita hii, lakini Marcon huyohuyo amepeta vibaya mno ktk uchaguzi. The same to German, wamelalamika uchumi wao kushuka kisa Gas ya Urusi, na bado taifa lake wiki ilopita imetoa pesa kwa Ukraine ili kupamba na Mrusi, na muda huohuo Bunge likaomba Serikali itoe silaha za mashambulizi kuisaidia Ukraine. Kuna propaganda nzito mno inaendelea hapa, ni sawa na Zelensky akilia dunia imuonee huruma wakati huohuo anazipacha haswa dhidi ya Mrusi hata kufanya mashambulizi ndani ya Russia.

4. Ntaendlea
 
Back
Top Bottom