Soyuz Rocket ya urusi ikiwa na mzigo wa tani 3 na vitu vingine muhimu(supplies) kwa ajiri ya kituo cha anga cha kimataifa imefanikiwa kuruka baada ya changamoto zilizotokea siku ya J'3.
Ratiba ya kuruka kwa chombo cha anga za mbali(Progress-MS08 Cargo Spacecraft) ilihairishwa mpaka J'4. Sababu ya kuhairisha kuruka ni baada ya Soyuz-2.1A Rocket kushindwa kuruka(Auotomatic Engine Shutdown).