Urithi Mwema wa Watoto wa Al Shaabab!

cha ajabu kuna wafia dini watakuja hapa na kutetea upuuzi huu ktk picha.hako ni kagaidi ka baadae.hiyo inaitwa human investiment.
 
Wakati wengine tunarithisha watoto wetu elimu, wengine wanarithisha mitutu ya bunduki...
 
Last edited by a moderator:
Aisee vyombo vyetu kama vipo makini huyu mzanzibar ni kuanza kudeal nae mapema.
Na naamini atasaidia kujua hata mauaji ya padri na umwagiaji wa tindikali
Cc Kaka Jambazi Yericko Nyerere THE BIG SHOW Moderator

huyo kijana ni noma sana mm nilimpigia sim na kumhoji kwa mda sana coz nilimtega na kutumia namba ya ofisi basi aliingia lain na kuonyesha kuwa ana nia ya dhati kabisa ya kujiunga nao
 
Last edited by a moderator:
These criminals start brainwashing these boys when they are still young; by the time they reach their teens they are so indoctrinated they can commit the most despicable crimes!!
 
These criminals start brainwashing these boys when they are still young; by the time they reach their teens they are so indoctrinated they can commit the most despicable crimes!!

Your right........
 
huyo kijana ni noma sana mm nilimpigia sim na kumhoji kwa mda sana coz nilimtega na kutumia namba ya ofisi basi aliingia lain na kuonyesha kuwa ana nia ya dhati kabisa ya kujiunga nao
Watu kama hawa niwakuwaripoti mkuu.. binafsi info zake kesho nitaziwakilisha vyombo vya usalama.Haya sisi wenyewe wenyewe wananchi tuanze kuchukua hatua. Sio badae ugaidi unatokea then tunawalaumu TISS na polisi wakati sisi wenyewe tumekalia taarifa na kuwahhifadhi waarifu
 
yaani mkuu wewe acha tu sababu watu kama hawa ndio huwa wanakuja kushambulia nchi yao na kutoa habarizooote sababu wanakuwa wanaijua vizuri sana mwanzo mwisho so uratibu wa kufanya ugaidi unakuwa na mchango wao mkubwa sana na wenye matunda mazuri .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…