Mdogo ake the BOLD
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 559
- 1,008
Nenda kwenye maduka ya Vifaa vya umeme kuna vimiter wanauza 35000 kama sikosei vinasoma umeme unaoingia kwakoKama kichwa cha habari kinavojieleza, nna shida ya Mita ya LUKU mwenye nayo aniuzie ili niifunge kwenye nyumba ninayoishi, kuna utata Sana kwenye kulipa umeme Kwa siku 4 umeme wa elfu 25 umeisha. Kwa yoyote mwenye nayo aje DM
Samahani kuuliza, hicho kifaa kinasaidia nini kama mnashare LUKU? Maana nilichoona hapo ni kwamba hata utumie umeme wa 2000 mwenzio atumie wa 10000 hutaweza kulala giza kwa sababu hujatumia umeme mwingi kama mwenzio hali umeme umeshakwishaNenda kwenye maduka ya Vifaa vya umeme kuna vimiter wanauza 35000 kama sikosei vinasoma umeme unaoingia kwako
Kinasaidia tu kujua fulani ametumia umeme kiasi gani ila pia sijui kama kina settings za kuset kuwa fulani kubuy unit 5 basi wen this unit elapsed basi atakuwa disconnected na power sijui kama kuna mita za ivo sokoniSamahani kuuliza, hicho kifaa kinasaidia nini kama mnashare LUKU? Maana nilichoona hapo ni kwamba hata utumie umeme wa 2000 mwenzio atumie wa 10000 hutaweza kulala giza kwa sababu hujatumia umeme mwingi kama mwenzio hali umeme umeshakwisha
Bila samahani......Samahani kuuliza, hicho kifaa kinasaidia nini kama mnashare LUKU? Maana nilichoona hapo ni kwamba hata utumie umeme wa 2000 mwenzio atumie wa 10000 hutaweza kulala giza kwa sababu hujatumia umeme mwingi kama mwenzio hali umeme umeshakwisha
Tatzo hata ukiwa na kile kifaa wenzako wasipinunua utalala Giza Tu mkuuMkuu kanunue tu kwenye maduka 25000 wanaviita separate mita
Ila kama unataka mita za tanesco hilo haliwezekani ata likiwezekana basi jua fika Unavunja sheria, Kama unahsi meter yako ina tatizo waombe tanesco waje waichunguze na incase wakikuta ina fault watafanya replacement free of charges
Wacheki Tanesco wanaweza kukufungia luku separately, nilikuwa na tatizo kama lako , apartment 3 tulikuwa tunashare luku, zile za zamani za kuchomeka kwamba umeme mpaka ukanunue Tanesco, walinifungia separate meter, gharama kama laki 4, mchanganuo -Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nna shida ya Mita ya LUKU mwenye nayo aniuzie ili niifunge kwenye nyumba ninayoishi, kuna utata Sana kwenye kulipa umeme Kwa siku 4 umeme wa elfu 25 umeisha. Kwa yoyote mwenye nayo aje DM
Ingekua hivyo ingependeza sanaKinasaidia tu kujua fulani ametumia umeme kiasi gani ila pia sijui kama kina settings za kuset kuwa fulani kubuy unit 5 basi wen this unit elapsed basi atakuwa disconnected na power sijui kama kuna mita za ivo sokoni
Ooh. Hicho kwa watu wastaarabu ndo kinafaa. Hizi nyumba zetu za uswahilini kitaleta mzozo zaidiBila samahani......
Chenyewe kinasoma umeme unao ingia kwako kwa hiyo ww utakua unalipia Unit zilizoingia kwako kwa kutumia ushaid wa kimita chako kwa vile umeme ukiisha si ndo mnachanga .........
Busara za Makubaliano ni muhimu, maana kama mtu unatumia taa tupu uweze kuwaforce wengine wenye uwezo wa kulipia umeme wa majiko na hita zao wasitumie...... Kila mmoja analipa achotumia kuondoa Makelele
hahaha ulipigwa sana... mimi walinivutia umeme, na luku yake kwa 170,000.. nikawaongezea 10,000 ya chai ikawa 180,000.. umeme ulikua unapita nje ya nyumba yangu so haikuhitaji nguzo..Wacheki Tanesco wanaweza kukufungia luku separately, nilikuwa na tatizo kama lako , apartment 3 tulikuwa tunashare luku, zile za zamani za kuchomeka kwamba umeme mpaka ukanunue Tanesco, walinifungia separate meter, gharama kama laki 4, mchanganuo -
320 Tanesco, hiyo nyingine kuandaa mchoro na ufuatiliaji