kutumia pirated copy ya operating system ni risk kubwa, inaweza ku-crash kwasababu ni vigumu kufanya authentication, lakini pia unajikuta hupati critical updates moja kwa moja kutoka kwa manufacturer kama microsoft kutokana na kuwa blocked out. hasara ni nyingi kuliko faida hakika.
lakini kwa culture tuliyokuwa nayo tanzania, ni wachache sana wananunua software mpya. wengi wanatumia genuine os kwa sababu zinakuja pre-installed kwenye computers.
it's not right, lakini nani wa kulaumiwa? nadhani vigumu kujibu, ingawa ipo siku mambo yatabadilika.