Urgent please i need window xp product key

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Hi!! to all!! Happy new year

Please!! Please!!!

I'm very far please!!! any one send to me Window XP Professional Product Key

Nipo mbali Tafadhali mtu yoyote anitumie Kii za window XP Professional Please

Rescue!!!!
 
Mbona hauko mbali ndugu kama umeweza kuunganishwa kwenye mtandao ina maana unaweza kutumia mtandao huo kununua keys za microsoft windows xp service park yako na ikafanya kazi lakini hakikisha vitu kama saa ziko sawa na haina tatizo lingine la majira
 
keys zinauzwa hakuna za bure ndio maana nimemwambia aunganishe kwenye mtandao anunue au apate cd katika duka la karibu
 
Windows XP Pro sp3
official Edition

Serials
v2c47-mk7jd-3r89f-d2kxw-vpk3j

au

mr49r-drjxx-m6px2-v96bf-8ckbj
 
Pastor kwa haki kabisa unatakiwa ununue na ukishaiweka kwenye komputa yako itajisajili kwenye tovuti ya microsft itakuwa yako milele utaweza kuupdate hiyo operating system yako na kufanya vyote kuliko hizi za bure nyingi ni za watu wanakupa wewe siku moja system yako inaweza kujilock tena ukalazimika kuformat upya au kuleta usumbufu mwingine ushauri wangu ni wa kitaalamu zaidi
 
Nashukuru mkuu CarthbertL maana Jamaa anamaneno mengi sana kwani anajua kila mtu yupo Town, Ok nakusubiri maana nimekwama kwani si unajua ukiweka fourwheel kwenye matope unajinasua then unakuwa salama sasa yeye anakwambia ukanunue why? mtu anashida. Mkuu nakusubiri wewe
 
Windows XP Pro sp3
official Edition

Serials
v2c47-mk7jd-3r89f-d2kxw-vpk3j

au

mr49r-drjxx-m6px2-v96bf-8ckbj

Mkuu Ndeshingio Nakushukuru sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa maana umenitoa katika matope hii ndo inafaa sio shy anagoma kunipa na ananijua ni best angu lakini du jamaaa mchungu . Ok mungu akuzidishie mara dufu palipo pungua paongezeke mara bilion. asante
 
hata kama ungekuwa ni picha wangu ningekwambia ukweli tu hivyo vitu vinauzwa usipende vya bure halafu baadaye ije kukuambia sio genuine uanze kulaumu watu hovyo
 
kutumia pirated copy ya operating system ni risk kubwa, inaweza ku-crash kwasababu ni vigumu kufanya authentication, lakini pia unajikuta hupati critical updates moja kwa moja kutoka kwa manufacturer kama microsoft kutokana na kuwa blocked out. hasara ni nyingi kuliko faida hakika.

lakini kwa culture tuliyokuwa nayo tanzania, ni wachache sana wananunua software mpya. wengi wanatumia genuine os kwa sababu zinakuja pre-installed kwenye computers.

it's not right, lakini nani wa kulaumiwa? nadhani vigumu kujibu, ingawa ipo siku mambo yatabadilika.
 
... na kibiashara zaidi...! imetulia mkuu
kwa dunia ya sasa money talk. ila ushauri wa shy ni mzuri maana risk ya kutumia pirate ni kubwa kuliko ukitumia kitu ambacho ni genuine.

Maana compyuta yake itakapo- block au sometime kushindwa hata ku- update vitu muhimu anaanza tena kuita technician inakuwa tena mwisho wa siku ndo ndo ndo si chururu akipiga hesabu pesa inazidi ya kununua original CD.
 
Kwa siye watumiaje wa ms office tu halafu hautumii internet hizi pirate copy zinatutosha si lazima ku-update windows. Its illegal issue lakini ndo uchumi unaruhusu mzee. Chakufanya hakikisha unadisable automatic update. Mheshimiwa kama alitotoa Ndeshingio hazijafanya kazi jaribu na hizi hapa, RHKG3-8YW4S-4RHJG-83M4Y-7X9GW
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom