Kwa 600,000 kwa truck ni kawaida... Kuna Mercedes Benz truck ya TBL ina km 1,500,000+ na bado inapiga mzigo.
Ila kwa hiyo pesa yake ya mwaka 2011 sio rahisi/au hawezi kabisa kupata... Na mileage lazima tu itakuwa ndefu.
Kama hiyo.Unataka hii? Jiongeze kwanza mzee japo Uko hatua ndugu yanguView attachment 1141804
Napambana wakuu si mchezo. Ila kwa mbali nauona mwangaKwa 600,000 kwa truck ni kawaida... Kuna Mercedes Benz truck ya TBL ina km 1,500,000+ na bado inapiga mzigo.
Ila kwa hiyo pesa yake ya mwaka 2011 sio rahisi/au hawezi kabisa kupata... Na mileage lazima tu itakuwa ndefu.
HP 371, km 125,000, 25milHp ngapi? Imetembea km ngapi? Na bei ikoje.
HOWO ni mchina, baki na idea ya kua na Scania,Hp ngapi? Imetembea km ngapi? Na bei ikoje.
Dronedrake, sema mkuu.HOWO ni mchina, baki na idea ya kua na Scania,
japo kwa 30m utapata ugonjwa wa moyo sio Scania
semi za million 30 zipo nyingi tu na watu wananunuaSio kama atapata bovu hapati kabisa kwa bei hiyo hata screpa ya scania