Anaweza akapata EX- UK au EX - SA ila Hapo mileage yake itakuwa ni kubwa mno kwenye km 700,000 huko.... Halafu lazima itakuwa ni kwenye mwaka 2003/4/5 huko.Hiyo sio scania ni skrepa ya scania
Watu kujifanya wajuaji.Hiyo sio scania ni skrepa ya scania
Kwa scania kwa bei hiyo atapata bovu au atapigwa angalau angekuwa na 200 au 150milioni
Sawa mkuu.Ni changamoto tu hizo mkuu, tunapaswa kukabiriana nazo
Scania zipo 113 360 hp good order za kuchagua ni PM bei ongezaZa muda wakuu.
Knna ndugu yangu anahitaji gari aina ya Scania kwa ajili ya biashara.
ana 30mil
Mwenye nacho anicheki kwa namba 0784581426
Ila mkuu, kwa 30M naona ungetulia utafute taratibu... Otherwise unaweza nunua scania halafu ukapewa na namba za mafundi woooote wa scania.Uko sahii mkuum at leat 94 260
Hapo mileage ni km 600,000 au Km 800,000 huko tena ya mwaka 2003/4.
I think jamaa anataka angalau kidogo hizi latest za mwaka 2015/16 >>>
Wapo wanaouza gari kwa bei ndogo kulipa madeni yao kichwa unaweza pata kumbuka hata kama ni ya usajili wa 2010 Tz bado unaweza kuwa nalo hadi 2030Kila mtu anajikuna kwa kadri ya mkono wake Mkuu.
Ninasubra, hope Mungu atatulia mkono wake pia
Mpya huwezi pata kwa bei na used huwezi pata bei iyo iyo pia.....acha uongo basi
Oky labda ni ujuaji..lakini wapi utapata scania kwa million 30 kama sio kununua gari bovu hatimaye uanze majuto kwanini ulinunua unajikuta umeeingia gharama kubwa kwa matengenezo ya kila siku end of the day unalipaki au una liuza kwa bei ya kutupwaWatu kujifanya wajuaji.
kama za Scandnavia Express Coach zile mlizotumiwaga pocket money kupitia gari zao wale mliosoma iringa na mbeya๐๐๐๐Scania milioni 30? Scania ipi hio
Sasa lori km 600000 unaona zee
Yapo mengi 2011 ya hizo km unapata kwa 90 hadi 120 R420 pamoja na Trailer yake