Urgent: I need data entrants today and tomorrow

Urgent: I need data entrants today and tomorrow

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
1,021
Reaction score
373
Dear all,
DAMAX Solutions Co. needs data entrants to enter questionnaire data into SPSS today. The data are related to Maternal Health Project evaluation recently conducted.
Qualification/Experience:
  • degree in any subject
  • Experience of data entry (with good speed)
  • able to work independently

Payment: we pay 2,000/- per each questionnaire entered (the questionnaire has 23 pages). we also pay 10,000/= per day to cover transport to our office and lunch. our office is located at BOKO areas (Dar es salaam).

send your CV to damax@gmx.com --- in the subject write DATA ENTRANT Application

You can even start working today if you are selected.
 
tshs 2000 ni kidogo sana,kawaida huwa tshs 7000 -12000tzs per questionaire
Hapana usidanganye kaka,questionnaire ni TZS 3000,sababu hawa wanafanya data entry tu.Pia na hiyo fare ni sawa ,kinachohitajika ni speed yako ya ku-key tu.
 
Hapana usidanganye kaka,questionnaire ni TZS 3000,sababu hawa wanafanya data entry tu.Pia na hiyo fare ni sawa ,kinachohitajika ni speed yako ya ku-key tu.
ahsante kwa kutoa experience yako
 
tshs 2000 ni kidogo sana,kawaida huwa tshs 7000 -12000tzs per questionaire

Inategemea na dodoso lenyewe, mengine hayana data nyiingi za kuingiza.
Mkuu kanyagio sema ukubwa wa kazi nichukue contract yote!
 
Last edited by a moderator:
Duh, hata mtu anayefanya typing sationary ni Sh 1500 per page, ukifanya hata kutype buku kwa page, kwa page 23 ni Tsh 23,000! Hiyo buku 2000 ni ya kinyonyaji sana!
 
Acha tamaa/udalali kanyagio endelea na utaratibu huo huo vijana wetu wengi wapate mshiko
Ni wewe mwenyewe tu na uwezo wako wa kutafsiri mambo! We unafikiri ikipewa kazi kampuni moja vijana ndiyo watakosa kazi?! Unarahisisha kazi tu na kuongeza efficiency kwa sababu hao watu wanakuwa chini ya usimamizi maalum wakati wewe ukiendelea na shughuli zingine. Ni kama kampuni ya simu iamue kutoajili watu wa customer care, iamue kuipa kampuni nyingine hiyo kazi na wao waajiri watu wao, inapunguza mzigo na kuongeza ufanisi tu. Ni mawazo tu mkuu, na wewe una haki na mawazo uliyonayo, lakini sidhani kama una haki ya kumwambia mtu mwingine jinsi ya kufanya kazi.
Asante
 
Duh, hata mtu anayefanya typing sationary ni Sh 1500 per page, ukifanya hata kutype buku kwa page, kwa page 23 ni Tsh 23,000! Hiyo buku 2000 ni ya kinyonyaji sana!
Hutaki unaacha. Kiwango kidogo kwako kikubwa kwa mwenzio. Niwashukuru wore walioleta applications. Nimeweza pata pata watu na tayari wameanza kazi
 
Ni wewe mwenyewe tu na uwezo wako wa kutafsiri mambo! We unafikiri ikipewa kazi kampuni moja vijana ndiyo watakosa kazi?! Unarahisisha kazi tu na kuongeza efficiency kwa sababu hao watu wanakuwa chini ya usimamizi maalum wakati wewe ukiendelea na shughuli zingine. Ni kama kampuni ya simu iamue kutoajili watu wa customer care, iamue kuipa kampuni nyingine hiyo kazi na wao waajiri watu wao, inapunguza mzigo na kuongeza ufanisi tu. Ni mawazo tu mkuu, na wewe una haki na mawazo uliyonayo, lakini sidhani kama una haki ya kumwambia mtu mwingine jinsi ya kufanya kazi.
Asante
Rene I like your comments. Nitaku PM tujadili idea yako kwa kazi inayofuata
 
nawashukuru sana waliotuma application. nilipokea application zaidi ya 40 na tumeweza kuwachukua waombaji waliofikisha vigezo vilivyoainishwa. nawashukuru sana. Stay tuned, shortly tutatoa ya TRANSLATORS..... (work in progress).
 
Duh, hata mtu anayefanya typing sationary ni Sh 1500 per page, ukifanya hata kutype buku kwa page, kwa page 23 ni Tsh 23,000! Hiyo buku 2000 ni ya kinyonyaji sana!

Sasa wewe unafananisha kutype page nzima na kukey in data? Kwa taarifa yako kama data sio string, mtu anaingiza questionnaire 2 hadi 3 wkati mtu anayetype kwa speed ya 45wpm hajamaliza page moja.
 
Hello kanyagio I have send my cv and certificates but no feedback
We have received more than 300 applications so we are reviewing and engaging (as we go).
if you meet min. qualification and experience we will invite you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom