Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 652 Jun 23, 2013 #1 Nimefanya mawasiliano ndani ya JF bila mafanikio, hivi sasa nahitaji madirisha 20 hivi ya aluminum kioo one way na mosquito slides ukubwa wa dirisha ni futi 4 kwa 5 lenye partition kwa juu, kwa mwenye bei reasonable ani PM.
Nimefanya mawasiliano ndani ya JF bila mafanikio, hivi sasa nahitaji madirisha 20 hivi ya aluminum kioo one way na mosquito slides ukubwa wa dirisha ni futi 4 kwa 5 lenye partition kwa juu, kwa mwenye bei reasonable ani PM.