Hao ISIS wanafugwa,dawa yao ni ndogo sana!Hakuna dawa nzuri nzuri kama airstrike kwa magaidi.Wale ISIS wa Syria na Iraq walipigwa airstrike wakapoteana!
Ndiyo!Airstrike?
Hata wakipigwa airstrike wakapoteana lakini hawajawahi kushindwa na kupotea.Hii ni kwa vile hiyo kitu ni danganya toto tu.Hao ISIS wanafugwa,dawa yao ni ndogo sana!Hakuna dawa nzuri nzuri kama airstrike kwa magaidi.Wale ISIS wa Syria na Iraq walipigwa airstrike wakapoteana!
Uroho wa mali za watu.Marekani
Norway
Ufaransa
Uingereza nk
Kuna nini nyuma ya hili?
Sisi Waafrika tunachukua hatua gani katika kuzuia hiliUroho wa mali za watu.
Sasa ndugu ufanya mashambulizi ya anga wakati unaambiwa wameshikilia mji, si utaua na raiaHao ISIS wanawafuga,dawa yao ni ndogo sana!Hakuna dawa nzuri nzuri kama airstrike kwa magaidi.Wale ISIS wa Syria na Iraq walipigwa airstrike wakapoteana!
Kwani Syria na Iraq hawakuwa wameshikilia miji?Mbona waliondoshwa kupitia airstrike?Sasa ndugu ufanya mashambulizi ya anga wakati unaambiwa wameshikilia mji, si utaua na raia
Mimi nawakubali ECOWAS tuu,lakini hii SADC ni uchafu.Kwa kweli inasikitisha sana kuona moja ya nchi ya afrika watu wanaleta vurugu na jeshi Lao linaonekana kushindwa lakini nchi zingine za afrika haziwezi saidia,
Wewe kwa kutumia akili yako unaamini Jeshi kamili ya Mozambique limeshindwa kukisambaratisha kikundi hicho? Ni kama Nigeria tu hao wanajeshi wao hugoma kwa kuogopa kufa.. ndio unadhani kuna nchi itakubali kupeleka jeshi lao? Kwa nchi yenye wanajeshi wasio wazalendo? Tunaona even Marekani sehemu nyingi hukodi wapiganaji kwenda front line na wao wakodi basi waache upumbavu uliopitiliza... waoneshe wao njia wasaidiwe...Kwa kweli inasikitisha sana kuona moja ya nchi ya afrika watu wanaleta vurugu na jeshi Lao linaonekana kushindwa lakini nchi zingine za afrika haziwezi saidia,
Mkuu hawa ECOWAS hawaisadii Nigeria kupambana na bBoko Haram??Mimi nawakubali ECOWAS tuu,lakini hii SADC ni uchafu.
Na kweli mkuu wale mnatafuta kipoli walicho jificha linatupwa bomu pale wanapoteana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sema wanawafuga tu.Hao ISIS wanawafuga,dawa yao ni ndogo sana!Hakuna dawa nzuri nzuri kama airstrike kwa magaidi.Wale ISIS wa Syria na Iraq walipigwa airstrike wakapoteana!